Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Kuwa first ndio priority yetu, na kufumba na kufumbua tutawatoa, hamtaamini!Hamna shida. Sisi ndio economy nambari moja hapa EA. Bado tunawashughulikia Uganda, Rwanda etc. Sio mambo ya rais mzima karibu kupiga magoti ndio apewe deal ya bomba la mafuta akilia Uganda wakumbuke Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua hilo bomba la mafuta linawauma hadi kesho ila hyo ni indicator kuwa we are coming to the top