Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Hamna shida. Sisi ndio economy nambari moja hapa EA. Bado tunawashughulikia Uganda, Rwanda etc. Sio mambo ya rais mzima karibu kupiga magoti ndio apewe deal ya bomba la mafuta akilia Uganda wakumbuke Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa first ndio priority yetu, na kufumba na kufumbua tutawatoa, hamtaamini!

Najua hilo bomba la mafuta linawauma hadi kesho ila hyo ni indicator kuwa we are coming to the top
 
Kama vile tu mnavyowala albino kama chakula bila wasiwasi...shit!
Na nyie wale mnaouana daily hadi kuua watoto (RIP) huwa mnapeleka wapi? Au hujui hapo kwenu ni watu wangapi washauawa tangu kuanza kwa kampeini?
 
Kuwa first ndio priority yetu, na kufumba na kufumbua tutawatoa, hamtaamini!

Najua hilo bomba la mafuta linawauma hadi kesho ila hyo ni indicator kuwa we are coming to the top
Hakuna kutuuma. Unajua wakenya wanajua vizuri sana kwamba Tanzania ni watu wenye maneno mengi bila matendo. Kutoka SGR, port expansion, mega city construction but with nothing to show for it. Sisi tunaenda tu. SGR yaenda kukamilika, Lapset imo njiani. Huku maendeleo tu.
 
Hamna shida. Sisi ndio economy nambari moja hapa EA. Bado tunawashughulikia Uganda, Rwanda etc. Sio mambo ya rais mzima karibu kupiga magoti ndio apewe deal ya bomba la mafuta akilia Uganda wakumbuke Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama vile tu mnavyowala albino kama chakula bila wasiwasi...shit!

Ndio maana mwawakeketa binadamu wenzio na kubeba body parts zao?
punguza povu...umekula?....njaa inakusumbua wewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
7120fa77b2375dd701643f9ac3831a46.jpg
5ebd4615d619946c26ff00b1bb443594.jpg
7047429045c5ba79954bfea71fa103df.jpg
 
Kuna mtz aliongea mbaya kuhusu Kenya now wanakipata
Mikenya myeusi kama jembe jipya. Mijanamike yao shapeless. Kitu cha pekee yanayo jivunia ni kingreza... Yaani bado ina fikra za kikoloni. Siyapendi afu hayajui kuoga yananuka hatari
 
Sisi weusi lakini hatuwali binadamu
 
Mikenya myeusi kama jembe jipya. Mijanamike yao shapeless. Kitu cha pekee yanayo jivunia ni kingreza... Yaani bado ina fikra za kikoloni. Siyapendi afu hayajui kuoga yananuka hatari
Weupe nyie mmejaa upumbavu ndio maana wakenya twamiliki makumpuni kama yote ya Tanzania..lol
 
Kuwa first ndio priority yetu, na kufumba na kufumbua tutawatoa, hamtaamini!

Najua hilo bomba la mafuta linawauma hadi kesho ila hyo ni indicator kuwa we are coming to the top
Kile unafaa kujua Kenya ina mafuta yake na sooner tutaunda pipeline yetu na in future s.sudan wanaeza join so ukidhani tuko bothered na uganda kutumia Tanzania route ole wako.....let's see lini io pipeline itaundwa
 
Weupe nyie mmejaa upumbavu ndio maana wakenya twamiliki makumpuni kama yote ya Tanzania..lol
Ni kweli ndo maana hamna jeshi bali kampuni ya ulinzi iitwayo KDF AMBAYO ALSHABABU WANAFANYIA MAZOEZI
 
Hakuna kutuuma. Unajua wakenya wanajua vizuri sana kwamba Tanzania ni watu wenye maneno mengi bila matendo. Kutoka SGR, port expansion, mega city construction but with nothing to show for it. Sisi tunaenda tu. SGR yaenda kukamilika, Lapset imo njiani. Huku maendeleo tu.
I know you won't admit in public buddy! Don't worry, i understand!

He he heee, eti watu wenye maneno mengi bila matendo! Ha ha haa, hii ni hidden card yetu dude! Mtakalia kujua hivo huku sisi tunachanja mbuga! We still have some more hidden cards!
 
Ila mnaliwa na alishababu
Waoga Tz unajua huwezi wapata kwenye AMISOM wakipigana na terrorists. Kazi ya rais wao no kulamba rais museveni matako akimbembeleza aipee Tanzania deal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kile unafaa kujua Kenya ina mafuta yake na sooner tutaunda pipeline yetu na in future s.sudan wanaeza join so ukidhani tuko bothered na uganda kutumia Tanzania route ole wako.....let's see lini io pipeline itaundwa
Sure, you better watch carefully maana hadi sasa hujui kinachoendelea!
 
Waoga Tz unajua huwezi wapata kwenye AMISOM wakipigana na terrorists. Kazi ya rais wao no kulamba rais museveni matako akimbembeleza aipee Tanzania deal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We kweli leusi la mwili hadi kichwani. Me vita isiyo nihusu nikafanye nini. ***** nasikia kampuni yenu ya ulinzi KDF WAKIWAONA ALSHABABU WANAACHIA HAJA ZOTE HAPO HAPO [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]ALSHABABU WANAUME WASHOKA HAHAHAHA... [emoji140][emoji140][emoji140][emoji140][emoji140][emoji140]KDF WAPAKA RANGI
 
Waoga Tz unajua huwezi wapata kwenye AMISOM wakipigana na terrorists. Kazi ya rais wao no kulamba rais museveni matako akimbembeleza aipee Tanzania deal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heheeeee do you expect us to join that? relax, ila mkizidiwa nguvu na hao alshabaab mtwambie tuwasaidia, hatutachoka kuwasaidia, nyie ni wadogo zetu!

Halafu kuhusu m7 , bora sisi kuliko nyie! Au umesahau ile coalition of the willing jinsi mlivyomlamba m7 matako ili akubaliane na ninyi baada ya sisi kukataa, halafu baadae huyo huyo m7 akachoka akawachomekea dole akaleta deal tz!

mfyuuuu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom