Hahahaha..kampuni ya TZ kua nchi nyingine. Uzinivunje mbavu. Pesa iwe imetoa wapi? Uongozi wa kijinga hata viongozi wanaweza jua kufanya regional or international expansion [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha kampuni ya TZ ije kufanya nini kenya?unafikiria Ni fashion kuwa na kumpuni Nje,our companies,might not be in Kenya but in other countries, ama kwenu that's illegal,after all most of the companies masoko hao wanawatosha hapa we have enough population to utilize!!
Ndio maana hata expatriates wengi Tanzania ni Wakenya. Mnafunzwa maana ya kufanya kazi. Uzembe na ujinga tutawatoa na lazima