Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Nimejaribu kupitia hizo wanaita "tweet" sijui kitu gani zao, kitu pekee wanaona cha maana ni kuongea kiingereza! Limbukeni utamjua tu, yeye Kiingereza ndiyo anaona kamaliza, Ptuuu!!!
 
We kiswahili inakusaidia aje... Ukijibu swali langu utakuwa umejibu yako pia
Sio "yako pia", ni lako pia. Kumbuka "yako" ni uwingi na lako ni umoja. Ameuliza swali moja na si zaidi ya hapo, kwa hiyo ulitakiwa useme lako!
Nadhani umeona sasa kuwa kila mmoja ana lugha yake. Kama wewe unavyotamba kukifahamu vizuri Kiingereza ndivyo nami nilivyokuonesha ufahamu wangu mzuri wa lugha ya Kiswahili. Ningewaona wa maana sana kujitamba kujua Kiingereza kama Watanzania wasingekuwa na lugha wanayoifahamu!
 
Hahahaha!! JF is nothing on social platform. We only come here to sell our Country and get info on what is happening with our Neighbors. Nothing more.
Information gani kwa mfano... Acha ujinga budda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Waafrica katika ubora wao maandazi anachekelea kitumbua. Wote mambumbu tu kazi kujisifia wanajua kuongea kiingereza really? 21st century bado unajidai na kiingereza? Huu ni utumwa wa fikra sasa sisi watu wengine tunachapa lugha mpaka tano tutasemaje??
 
Waafrica katika ubora wao maandazi anachekelea kitumbua. Wote mambumbu tu kazi kujisifia wanajua kuongea kiingereza really? 21st century bado unajidai na kiingereza? Huu ni utumwa wa fikra sasa sisi watu wengine tunachapa lugha mpaka tano tutasemaje??
a tanzanian consoling himself in his LDC country....😀😀 ukihitaji translation niko hapa kwa ajili yako bro...😀😀
 
Sasa nani colonized. Sisi ndio tunaongoza ama kumilika makampuni kubwa kubwa humo nchini mwenu.

We colonize you dummies
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ur dumb as https://jamii.app/JFUserGuide, budda hivi unafikiria hata unachoandika???? Sikulaumu ila najua Mtu ukiwa na njaa ka yako huwez fikiria vzuri [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Jameni Watanzana mbaki huku huku JF ambapo tumezoea kuvumilia ulimbukeni wenu, aisei kuwabeep Wakenya kule Twitter ni kujitakia makuu.
Huko Twitter wamejaa machalii tupu ambao hawawez kujenga hoja hata moja zaidi ya vioja!


Mtu anayejitambua hawezi kupoteza muda wake kwa conversations za kipuuzi hizo!

Nilipita nikaona ni ushuz mtupu!
 
Mm nilidhani wakenya mutafakari vipi mutapambana na njaa janga LA taifa ambalo limesababisha vyakula kupanda bei vibaya sana na watu na wanyama kufa kila Leo...........
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
Mm nilidhani wakenya mutafakari vipi mutapambana na njaa janga LA taifa ambalo limesababisha vyakula kupanda bei vibaya sana na watu na wanyama kufa kila Leo...........
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi
Watalimaje wakati 24hrs wanashinda tweeter hahahaha acha wafe njaa Wana ufala kwel Hao.... Ngoja tuone ka watakula kingereza [HASHTAG]#kenyans[/HASHTAG] r dummies
 
Alaf bahati mbaya sana Leo yapata miezi takriban 4 njaa inatesa nchi ya kenya na mpaka sasa hvi hakuna dalili njema ya kuwepo na afuweni......
Vyakula havipatikani, mfumuko wa bei umepanda maradufu, kenya leads in unemployment rate in the world, kenya have a big gap btn rich and poor na hio ni kitu kibaya kwenye economy.......
So nilidhani kenya mkae kutafuta suluhu na kwakuwapa taarifa tu Tanzania sio ya kuchezea
 
Completely childish.

Wenzenu wapo lab wanatengeza bidhaa za kuuza nyie mmekalia ujinga.

Mna haki ya kumilikiwa na wazungu.
 
Back
Top Bottom