Kwa kifupi sana ....
Twitter utumiaji wake hauna tofauti kubwa na utumiajia wa Facebook ama Instagram katika mtazamo kwamba unahitaji kuwa na account following, followers na unaweza ku like kama kawa.
Tofauti kubwa ni kuwa Twitter imetengenezwa kuwasilisha ujumbe wa maneno zaidi ya picha kama ilivyo kwenye Facebook ama Instagram na pia unaweza kuusambaza kwa haraka ujumbe wa mtu mwingine kwenda kwa marafiki zako wote kwa mbonyezo mmoja tu unaoitwa ''Retweet''. Ni sawa na kuwa na Facebook ama Instagram isiyo na picha so that mean kama ni ujumbe utasafiri haraka zaidi na kwa watu wengi zaidi.
Uwezo wa kuweka multimedia upo kama ilivyo kwa mitandao yote lakini katika Twitter watumiaji tumejitengeneza kuandika na kusoma zaidi tofauti na Facebook ama Instagram ambapo picha kwanza then mambo mengine ndio yafuate
Thus it.