Twitter kunani?

Twitter kunani?

DsmicSound,
Twitter pazuri mno askwambie ntu! Uzuri wa Twitter ni short and clear vile vile unaweza potezea au ku-like, ku-twitt hata ku-reply
Zuri kule ni hakuna hoja maalum kama ilivyo majukwaa hapa jf comments kule ni kama nilivyosema short & clear to the point
Dunia iko Twitter to my side
 
Kwa kifupi sana ....

Twitter utumiaji wake hauna tofauti kubwa na utumiajia wa Facebook ama Instagram katika mtazamo kwamba unahitaji kuwa na account following, followers na unaweza ku like kama kawa.

Tofauti kubwa ni kuwa Twitter imetengenezwa kuwasilisha ujumbe wa maneno zaidi ya picha kama ilivyo kwenye Facebook ama Instagram na pia unaweza kuusambaza kwa haraka ujumbe wa mtu mwingine kwenda kwa marafiki zako wote kwa mbonyezo mmoja tu unaoitwa ''Retweet''. Ni sawa na kuwa na Facebook ama Instagram isiyo na picha so that mean kama ni ujumbe utasafiri haraka zaidi na kwa watu wengi zaidi.

Uwezo wa kuweka multimedia upo kama ilivyo kwa mitandao yote lakini katika Twitter watumiaji tumejitengeneza kuandika na kusoma zaidi tofauti na Facebook ama Instagram ambapo picha kwanza then mambo mengine ndio yafuate

Thus it.
 
Back
Top Bottom