Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Nje ya keyboard na ukibahatika kuniona nkitembea na kuongea wala hutoshangaa! Binti mkali kwasababu nna maziwa...ha ha ha haaa

Kapige kura mkuu
Maziwa ?una maanisha breasts?[emoji39]

Kama ni kweli we've to make a convo after polling.
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Watanzania wamevurugwa, hawaaminiki.

Anayejisifu kwa kutujengea madaraja ya juu, umeme wa Rufiji, reli ya kisasa, meli za kisasa na madege hajiamini kabisa mpaka anazima social media. Nilitaraji kwa kazi alizofanya so far asingepiga hata kampeni, angeacha kazi ziongee wakati yeye aanaendelea na mishe zingine. Lakini loh! Mwoga balaa
 
Kilichofanyika ni shambulizi dhidi ya uhuru na hali za watanzania, natamani dunia iingilie kati
Dunia ya wapi ndugu. Piga kura nenda nyumbani subiri jumatatu kawajibike. Kesho Maulid, Ijumaa time inahesabu Kura. Jumamosi ,Jumapili tupo home. Kweli tume itajinafasi. Uhuru teleeeeeee
 
Kuna international students katika nchi hiii wanasoma online, hakuna mtandao nini maana ake? Miaka ya giza ndo hii? Najiuliza tu Uoga wa nn?
Hapo ukute unasoma open nje na una Assignments[emoji41]
 
Kaka watu huwa wanahack system za NEC kipindi hiki cha uchaguzi. 2015 watu waliingilia mtandao wa NEC kwahiyo kujihadhari ni vizuri

That is bullshit. Na haujui information security inafanya kazi vipi. Ingekuwa ni hivo, internet access ingekuwa blocked.

Huwezi ku-hack dead au blocked server. Hao NEC walipaswa kuweka site yao inactive kwa kipindi wanachotaka. Sasa unajaribu kusema kuwa twitter, youtube na social media ndio zinatumiwa ku-kuhack NEC website?

Au unasema social websites ndio zitatumiwa kusambaza hacked materials? Kama unasema hivo kumbe hujui kuwa hacked materials zinaweza kutunzwa na kupostiwa siku nyingine baadae - je maana yake ni kuwa hizi social site hazitakuwa accessed tena??

Kujifanya kujua kwingi kumbe ni speculations na conspiracies tu!!
 
CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Walianza kuleta taharuki mara wanaweka video clip eti mtz ameuawa kumbe uongo mtupu!
 
Serikali dhalimu inayozima mitandao ya kijamii haistahili kurudishwa madarakani. Piga chini CCM mpya
 
Safi sana nmefurahi kuzimwa kwa mitandao, wanaolalamika ni wale wapenda vurugu. Huku niliko ni mwendo wa magu, na gwajima [emoji172][emoji169]
 
Mi naomba Rais wetu aifunge hata maisha tu... watanzania tu
Ekua wavivu tusiopenda kazi na kushinda mitandao ya kijamii...ikifu gwa hv iwashwe weekend tu ka bar.......itasaidia ubunifu nda I ya nchi...nawasilisha
 
Mi naomba Rais wetu aifunge hata maisha tu. Watanzania tu
Ekua wavivu tusiopenda kazi na kushinda mitandao ya kijamii...ikifu gwa hv iwashwe weekend tu ka bar. Itasaidia ubunifu nda I ya nchi. Nawasilisha
Kwa akili hizi Tanzania bado sana
 
kwa akili hizi Tanzania bado sana
Kawaulize China kwanini wanawazidi marekani maendeleo. Shwaini, unadhan ikitokea Kampuni ya kizalendo Kama Uber, Twitter Facebook mapato kiasi gani yataongezeka au ndo wataka piga umbea tu
 
Back
Top Bottom