hizo GX Gx-R, VX, VX-R, ZX zote ni V8 mkuu.Kuna hizo gari ni PRADO
zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo
Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
Sio kweli zinaweza kuwa zimefungwa engine moja inatagemea na ww umechagua ipiTx haina turbo na specification zake ni chache kuliko Txl ambayo ina turbo
Ilala kule kuna maduka ukiingia kununua mswaki wa 2az wanakumixia.Yeah engine ni ya 1AZ
Mwendo wa TX huwez kulinganisha na mnyama TXL. Hata Bei TX imepoa Sana.Kwamba TX ina kuja na engine moja? Manake 1kz nadhan pia wanaweka kwenye TX hizo sasa 1kz hp 170 na kitu bado useme mwendo kobe?
Mwendo wa TX ni upi na TXL ni upi..?Mwendo wa TX huwez kulinganisha na mnyama TXL. Hata Bei TX imepoa Sana.
Hata awe na G hawezi shindana na mark x ule ni mzik mneneSasa ajabu unakuta mtu ana Premio F halafu anataka kushindana na Mark X...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Source?Kwa ujumla, TX ni toleo la msingi zaidi linalofaa kwa wale wanaotafuta gari la gharama nafuu lenye uwezo wa off-road na vipengele vya msingi. TXL ni toleo la juu zaidi likiwa na vipengele vya ziada vya comfort, safety, na technology features linalofaa kwa wale wanaotaka uzoefu wa kifahari zaidi katika gari lao la off-road.
source ya nini si uangalie specs za kila gari apo, ni mapendekezo yangu tu laknSource?