TX Vs TXL (Landcruiser)?

TX Vs TXL (Landcruiser)?

Kuna hizo gari ni PRADO
zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo
Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
hizo GX Gx-R, VX, VX-R, ZX zote ni V8 mkuu.
 
Tx haina turbo na specification zake ni chache kuliko Txl ambayo ina turbo
Sio kweli zinaweza kuwa zimefungwa engine moja inatagemea na ww umechagua ipi

Inaeza kuwa ni TXL ila ndani ina 1GD ftv pia ikawa tx na ikawa na hio engine hio hio na mwngne akawa na TX au TXL na 2TR
 
Yeah engine ni ya 1AZ
Ilala kule kuna maduka ukiingia kununua mswaki wa 2az wanakumixia.

Unapewa mswaki una cylinder head 2az na block la 1az.

Sasa njoo utie kwenye harrier yako. Kwanza ukiwasha tu muungurumo uko tofauti. Af gari haiwi na pulling kama ya 2az maana unakuwa kama umefunga 1az ya kawaida[non d4].,

Siku ukija kufungua Oil sump ndo utachoka maana kule chini kuna tofauti kubwa sana kati ya 1az na 2az.
 
Mwendo wa TX huwez kulinganisha na mnyama TXL. Hata Bei TX imepoa Sana.
Mwendo wa TX ni upi na TXL ni upi..?

1GD ya sa hivi wameweka kwa tX pia na kwa VXL...hapo huwezi sema VXL itakuwa fasta zaidi ya TX yenye hio hio engne zitakuwa tofauti kwenye features zingne
 
Kwa ujumla, TX ni toleo la msingi zaidi linalofaa kwa wale wanaotafuta gari la gharama nafuu lenye uwezo wa off-road na vipengele vya msingi. TXL ni toleo la juu zaidi likiwa na vipengele vya ziada vya comfort, safety, na technology features linalofaa kwa wale wanaotaka uzoefu wa kifahari zaidi katika gari lao la off-road.
 
Source?
 
Back
Top Bottom