Types and roles of Midfielders in modern futbol

Kwa maelezo yaliyotolewa hapo juu. Basically siku hizi timu nzima ni midfielders.
Yup yup, kuna game BuLi, Pep alianza na Boateng-Benatia-Dante (3 CBs), kati akawa na Rafinha na Bernat (kwenye flanks zaidi), Lahm-Shweini-Xabi katikati, mbele Muller na Lewy. Basically, timu nzima ilikuwa viungo
 
Mifumo imebadilika sana maaana saiv namba 9 /CF kushuka chini kukaba jambo la kawaida.
Hakuna tena ma winger vibendera saiv ni Wing Midfielder ama Wing Back yan uwepo kwenye attack pia uwepo wakat wa kudefend..
Na GK wa saiv ndo anaaanzisha mashambuliz mfano Bayern Neur habuti mpira ovyo atakama ameanzisha akakosea attempt inayofatia atafanya tena ivyo ivyo...
 
Niliowataja ndio nimepata nafasi ya kuwaona sana bro, watu kama Baraja nilimuona Euro '04 na Spain, Makelele nilimuona msimu mmoja tu Madrid, Silva na Brazil ila nilikuwa siuelewi mpira kivile, so hata uwezo na majukumu yao siwezi kuyaelezea vizuri.

Hao ndio walioifanya nafasi ya defensive mid kuonekana umuhimu wake. Mpaka jina la "Makelele role" lilitumika kuielezea hiyo nafasi. Kama ulimuona alipokuwa Real then hukumfaidi sana, alipokwenda Chelsea ya awamu ya kwanza ya Mourinho ndipo alicheza nafasi hiyo "to perfection".

Gilberto Silva alijulikana na wapenzi wa Arsenal wa hapa Bongo kama "mkata umeme" na huko kwao alijulikana kama "the invisible wall" jinsi alivyoweza ku-cover defenders wa Arsenal na Brazil vizuri. Ruben Baraja pia alicheza kwa ubora nafasi hiyo akiwa Valencia na wataalamu wa soka wanasema jamaa alikuwa na kipaji cha asili cha kukaba.
 
Wakati nacheza mpira shule wakati huo nlikuwa nacheza namba 5 ila namba 6 alikuwa anachoka sana. Kwahyo nikawa kama nasaidiana nae. Aisee ukipata washambuliaji wajanja na wenye akili kadi zinakuhusu.

Kwangu mimu kwenye team mtu wa muhimu ni holding midfielder. Huyo akuzubaa au akiwa mzembe mtechezewa mpira mwingi sana
 
Ule mpira wa cf anasubiri na kuagiza kama yupo hotelini imeisha siku hizi ndo maana uliona ibra alivyopata tabu na barca waqt etoo alikuwa ana fit penye mfumo
 
Ule mpira wa cf anasubiri na kuagiza kama yupo hotelini imeisha siku hizi ndo maana uliona ibra alivyopata tabu na barca waqt etoo alikuwa ana fit penye mfumo

-Guardiola mpumbavu sana yule, ameicost timu kwa ajili ya Ibra.
-Mbaguzi sana yule jamaa.
 

Hao watatu wote wa kwanza ni CENTRAL DEFENSIVE MIDS.. CDM, sema wanatofautiana kama ulivochambua kutokana na uwezo wao katika kubaka, kuchezea mpira, uwezo wa kuanzisha na kupandisha mashambulizi kwa kasi.

Deep-Lying Midfielders.. position ya half-back six kama kawaida.. ama #8 (ktk mfumo wa 4-2-3-1) lakini anakua anaujuzi wa kucheza na mpira na kuanzisha mashambulizi toka dimba/duara la chini kuliko kukaba... Toni Kroos, Pirlo..

Holding Midfielders.. Hawa kama jina lao lilivo huwa wanatumika sana kuaribu mipango ya timu pinzani kabla hawajasogea katika half ya timu yao.. wana-hold au ku-push timu pinzani katika upande wa goli lao.

Ila katika nafasi hii ya Ulinzi kuna watu ambao walikua hatari.. mfano MAKELELE.. kwa tuliomuona jamaa tutakubaliana alikua

DESTROYER (mna kumbuka zile sliding tackles zake.. alikua na uwezo mkubwa wa kufanya anticipation) yani kiukweli jamaa nilikua nampenda sana.. hasa wakati yuko DARAJANI.. alikua harusu mipira iwafikie mabeki hovyo.

Makelele hakua na mbwebwe za kupanda hovyo.. muda wote una mkuta ktk right position..

Hii nafsi naijua nje ndani kwani nimeicheza toka utotoni.

Box to Box mwingine ni Michael Essien, Gerrad naye yumo yumo.

Alafu kwenye huo mfano wako wa mabeki wanaojua kuchezea mpira.. Pique HAFAI hapo, kuna watu kama akina NESTA.. huyu jamaa ni beki anayecheza mpira aseeh..
 

Yeah.. mpira siku hizi sio #9 mda wote yuko kifuani kwa #4 .. sikuhizi wanashuka chini kuchukua mipira timu inaposhambuliwa.. ama wanafungua pembeni kujaribu kutengeneza nafasi..
 

Cheza center-half afu half-back six na four wawe wavivu au hawako form ndo utajua mpira ni shughuli nzito.
 
Duh! zile enzi za Sunday juma na mpira ana shoot goal haipo
.jamaa alikuwa anakimbia mpaka mpira ana usahau nyuma
 
Destroyers : Gatusso, Ambrosini, makelele, Gravesen, cambiaso, zaneti

Holding midfielders:
Dunga, gilberto, mascherano, gerarld, keane, viera, schein, pirlo, balack, guti, xavi

Attacking midfielders:
Totti, kaka, zidane, scholes, effenberg, balack, pablo aimar, requelme, gaucho, fabregas, coutinho, james, iniesta,

Box to box:
Makelele, gatuso, zaneti, gilberto,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…