Types and roles of Midfielders in modern futbol

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Binafsi nazifahamu hizi

Defensive Mids
Hawa siku hizi wanacheza kama mabeki au mabeki wanacheza kama viungo wakabaji kwa timu zinazomiliki mpira sana. Mabeki viungo wanajulikana kama ball playing defenders (David Luiz, Pique, Ramos etc). Then kuna viungo wakabaji ambao pia huwa wanatumika kama mabeki wa kati kulingana na mchezo unavyokwenda, ila ni viungo (Luiz Gustavo akiwa na Brazil, Busquets, Xabi).

Destroyers
Hawa ni viungo ambao primary role yao ni kuharibu tu, kama Coquelin wa Arsenal, Tiago wa Atleti n.k.

Deep Lying Midfielders
Hawa primary role yao ni kuchezesha team ila kutokea kwenye half yao zaidi, kina Toni Kroos Madrid, Pirlo Juve, Verratti PSG n.k.

Creative/Attacking Midfielders
Simply wazee wa assists, primary role yao ni kufungua ngome za wapinzani na kutoa pasi za mwisho. Iniesta, Gotze, Coutinho n.k.

Box to box Midfielders
Hawa wanafanya kila kitu, wanatakiwa kuwepo popote mpira ulipo. Isco na Modric chini ya Ancelotti, Yaya Toure mara nyingi Man City, Rakitic Barca, Matuidi PSG n.k.

Offensive Midfielders/strikers
Hawa ni washambuliaji ila pia ni wachezeshaji, kina Benzema, Messi at times, Welbeck, Rooney at times n.k.

Unazifahamu aina ngapi?
Huo ni mtazamo wangu tu, ruksa kunisahihisha nilipochemka pia.
 
Ninavyojua Tanzania Midfielders Ni Jonas Mkude Na Said Ndemla Tu Na Huko Duniani Midfielders Ni Andrea Pirlo Na Thomas Rosicky Period.
 
Hebu elezea majukumu na nafasi zao basi, kwa mtazamo wako
 
Pia kuna Holding Mid, huyu yeye anakaba pamoja na kuuzuia mpira wakati viungo wachezeshaji wakitafuta vyumba. Mfano ni Nemanja Matic wa Chelsea, Casemiro wa Porto.
 
Majukumu Yao Makubwa Yanga Wanayajua Na Kuhusu Nafasi Mkude Ni Kiungo Wa Nyuma Na Ndemla Ni Kiungo Wa Kushambulia. Jingine?
Hao wote umenitajia sijawahi kuwaona, Mkude nimewahi kusikia jiná tu.
 
Yaanj wewe sijui kama mpira huwa unauelewa, sasa ndo umejibu nini hapa!!??
 
Hao wote umenitajia sijawahi kuwaona, Mkude nimewahi kusikia jiná tu.

-Unajua kuna watu wao kila Jukwaa wanataka wawepo kila Jukwaa, Mapishi yeye, MMU yupo, Siasa yumo, Chit chat yeye yaani kila kona anataka awepo. Mfano wapo ni huyu Jamaa.
-Sio vibaya kuwepo ila aongee vitu vya kueleweka sasa, sasa huyu jamaa umemuuliza swali jepesi anaanza kujibu utumbo. Kitakachofuata apo ni mjadala wa kipuuzi. Kuna watu wa ajabu sana. We ngojea.
 
Hahaha nimekusoma mzee, asante kwa kunishtua.
 
-Unajua kuna watu wao kila Jukwaa wanataka wawepo kila Jukwaa, Mapishi yeye, MMU yupo, Siasa yumo, Chit chat yeye yaani kila kona anataka awepo. Mfano wapo ni huyu Jamaa.
-Sio vibaya kuwepo ila aongee vitu vya kueleweka sasa, sasa huyu jamaa umemuuliza swali jepesi anaanza kujibu utumbo. Kitakachofuata apo ni mjadala wa kipuuzi. Kuna watu wa ajabu sana. We ngojea.

Yatafuata matusi ndio upeo wake na tayari ameanza.
 
Claude Makelele aliangukia wapi katika makundi hayo?
 
Back
Top Bottom