Nimekumbuka tamthiliya ya mifilipino her mother's daughtermtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Yule sio mama yake...... ni sawa na oven tu baada ya keki kuiva mwenye keki kachukua. Kumbuka embryo ni ya tyra na bwana wake....mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Mkuu hii nchi za wenzetu ni kawaida sana,Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Hata guliana rancik (sina uhakika na spelling nimeiandika kama inavyotamkwa)
Duuuh huyo hapo mwenye mtoto ni Tyra Banks??!! Hahaaa shikamoo make up!
Btw, kama kumbukumbu zangu haziongopi, nilishawahi kusoma mahali fulani kuwa Tyra ni mmoja kati ya wahanga wa endometriosis. Too bad!
Kwa mtoto nadhani akiambiwa nilazima atakua na interest kumjua huyo mtu, ila sasa yule surrogate mother mapenzi yake-(ile nine months bond) ni mazito sana kwa kiumbe alichokipa uhai, kwa namna yoyote atapenda kujua huyo "mwanae" anaendeleaje kimaisha....nahata angependa hata kujua, kusikia mtoto huyo akimwita mama, na kwamba anamshukuru kwa kumzaa na kwamba bila yake asingekuwepo hapa duniani.mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Yeye bado anaamini ktk kuttommbwa
Nilitaka nilete ombi naona umenikata maini maana dada yangu anahitaji mtoto lakini naona hawezi tena. Ni rafiki yakoDuuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Sijakuelewa vizuri mkuu,ni rafiki yangu kivipi?Nilitaka nilete ombi naona umenikata maini maana dada yangu anahitaji mtoto lakini naona hawezi tena. Ni rafiki yako
Kabla sijakujibu naomba umkataze Jambazi aache uchokozi wake====Super Model Tyra Banks amepata mtoto kwa kubebewa mimba na mwanamke aliyejitoleaSijakuelewa vizuri mkuu,ni rafiki yangu kivipi?
Tyra Banks lazima atakuwa ana kauchaga kwa mbali kwa sababu ana sifa mbili ambazo anafanana na hao jamaa zetu. (1)Komwe (2) Tumiguu kwa chini....tehe tehe.
cc: misschaga.
Shikamoo mzungu......waje na dar tupate ajira......Hapana,kumbuka Tyra hajapenda hili.
Na pia mbegu ni za Tyra na baba yake huyo kijacho...
Sioni tatizo katika hili maana angekuwa hana haja ya mtoto asingehangaika namna hiyo.
Halafu ujue mama yake biological ni Tyra ila by birth ni huyo mwingine....
Duh,sayansi kiboko!
miss chagga mwambie chepetunga apitie hukuYah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.
India womb for rent ni cheap $12,000 to $70,000....Kwingine wanahakikisha mwanamke anapozaa tu ananyang'anywa na asimuone kabisaaa na wala hajaui mtoto kapelekwa wapi.