Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Yule sio mama yake...... ni sawa na oven tu baada ya keki kuiva mwenye keki kachukua. Kumbuka embryo ni ya tyra na bwana wake....

Hata guliana rancik (sina uhakika na spelling nimeiandika kama inavyotamkwa) nae ilibidi atumie surrogate
 
Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!

umeona ehh!!... i mean lazima atajisikia kama vile ameea mtoto wake!... mi nadhani na mtoto akikua atakuwa special feelings kwa huyu aliyebeba miezi tisa...

ila kisheria zao wenyewe nadhani serogate mothers hawana haki tena na mtoto ..
 
Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Mkuu hii nchi za wenzetu ni kawaida sana,
Hawa watu wapo na ni kama biashara wanaita surrogate
 
Tyra Banks sistaduu aliyekuwa anahusudu mabilionnaire.....kweli maisha yanachange sasa hivi huyo mme wake ni photographer wa udakuzi..
 
Duuuh huyo hapo mwenye mtoto ni Tyra Banks??!! Hahaaa shikamoo make up!

Btw, kama kumbukumbu zangu haziongopi, nilishawahi kusoma mahali fulani kuwa Tyra ni mmoja kati ya wahanga wa endometriosis. Too bad!
mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Kwa mtoto nadhani akiambiwa nilazima atakua na interest kumjua huyo mtu, ila sasa yule surrogate mother mapenzi yake-(ile nine months bond) ni mazito sana kwa kiumbe alichokipa uhai, kwa namna yoyote atapenda kujua huyo "mwanae" anaendeleaje kimaisha....nahata angependa hata kujua, kusikia mtoto huyo akimwita mama, na kwamba anamshukuru kwa kumzaa na kwamba bila yake asingekuwepo hapa duniani.

ila nilishangaa wakati mmoja hivi USA, kunamtoto aliibiwa akiwa kachanga hospitali, baadae akaja kukutana na mama yake mzazi, ni machale yake tu akajihisi yeye sio mtoto wa familia anayoishi, akatafiti mpaka akajua ukweli, binti akiwa mkubwa na akili zake, zikafanyawa taratibu zote za maandalizi kuwakutanisha...inashangaza hawakuweza kupatana na huyo biological mother na familia yake hiyo real.....nadhani nimalezi alikolelewa yalipishana sana na kwa mama yake mzazi.....

Kuna complications kwakweli kwenye mambo haya, na kuweka mambo sawa ni uwepo wa clear guidelines na sheria kulinda maslahi ya wahusika.
 
Tyra Banks lazima atakuwa ana kauchaga kwa mbali kwa sababu ana sifa mbili ambazo anafanana na hao jamaa zetu. (1)Komwe (2) Tumiguu kwa chini....tehe tehe.

cc: miss chagga
 
Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Nilitaka nilete ombi naona umenikata maini maana dada yangu anahitaji mtoto lakini naona hawezi tena. Ni rafiki yako
 
97a65681dae622f0ee4f5d756d45a55f.jpg
 
Tyra Banks lazima atakuwa ana kauchaga kwa mbali kwa sababu ana sifa mbili ambazo anafanana na hao jamaa zetu. (1)Komwe (2) Tumiguu kwa chini....tehe tehe.

cc: misschaga.

Ha ha ha ha ha
Una utani na wachaga ?
 
Haonekani kufurahia huyo mtoto kama anavyofurahi yule mama ambaye amehangaika naye tumboni miezi tisa na zile shuruba zinazoendana na kuwa na hao viumbe mwilini. Mimi huwa mnaniacha hoi na zile hasira zisizokuwa na maelezo ya msingi.🙂🙂
 
Hapana,kumbuka Tyra hajapenda hili.
Na pia mbegu ni za Tyra na baba yake huyo kijacho...
Sioni tatizo katika hili maana angekuwa hana haja ya mtoto asingehangaika namna hiyo.
Halafu ujue mama yake biological ni Tyra ila by birth ni huyo mwingine....
Duh,sayansi kiboko!
Shikamoo mzungu......waje na dar tupate ajira......
 
Hapa ndipo naposhangaa wengine wanatoa mimba wengine wanahangaika kila namna kupata mtoto.....
 
Yah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.

India womb for rent ni cheap $12,000 to $70,000....Kwingine wanahakikisha mwanamke anapozaa tu ananyang'anywa na asimuone kabisaaa na wala hajaui mtoto kapelekwa wapi.
marieclaire_india_pregnant_bellies.jpg
miss chagga mwambie chepetunga apitie huku
 
Back
Top Bottom