Niliona kwenye kipindi siku moja, mama kaamua kumbebea mwanae wa kike mimba baada ya kujaribu kwa muda na mume wake. . Akajifungua twins kwa operation
kwakweli kuna wanawake wanateseka sana na inatia huruma sana....wengine umri unaenda na wapo kwenye ndoa za miaka 5+, i wish wangepata nafasi kama tyra na wengineo.
Najua wapo kinamama ambao wako tayari kabisa hata bure kusaidia kubeba mimba ila sasa tunahitaji organisers kushikilia kibendera kwa mfano kama ilivyoanzishwa chama cha wanasheria wanawake, pia guidelines/ sheria za serikali kuhuhusu hili la surrogate mothers, najua wataalam wapo waliosomea haya, na wapo madokta wanafanya miujiza mfano clinic moja pale sinza kwa ndani hivi makaburini, wamewapa matumaini wazazi wengi sana walohangaika kwa kweli.
labda tatizo ni ku set up hizo special clinics na modern equipment, Naamini nchi zinazoongoza na kuwa namafanikio kwenye hili wanaouwezo kushare na wataalamu wapya the same way kama ushirikiano uliopo kwenye maswala ya magonjwa ya moyo na India....
Israel pia wako vizuri...kama walitusaidia kuijenga JKT sidhani kama watashindwa hili...
Mahusiano ya kiwa formal sana na recognition ya msaada, success inapatikana.....ndio kazi za mabalozi hizi na wasifiwe kweli wamewakilisha taifa,
Pia vizawadi.....kakisima kamoja ka gesi kuwapa kwa hili la kuimarisha afya ya jamii ya tanzania kuna ubaya gani,,,,,