Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

wema naye auze ile range yake akodishe tumbo la kulelea mimba
 
Nashukuru Mungu sina tatizo kwenye hii idara.

To be honest kama kuna mtu wa karibu
sana kwangu anatatizo hili sinta angalia pembeni
ni tamsaidia. ila haya mambo ya kulipwa sintakubali kabisa
kwa maana Mungu kanisaidia nimejitoshelezea.
Ikifika siku anahitaji mbegu usisite kuniona, am siriaz on it kuliko niziache kwenye kimfuko(condom) acha nimsaidie tu mhitaji
 
Hapana,kumbuka Tyra hajapenda hili.
Na pia mbegu ni za Tyra na baba yake huyo kijacho...
Sioni tatizo katika hili maana angekuwa hana haja ya mtoto asingehangaika namna hiyo.
Halafu ujue mama yake biological ni Tyra ila by birth ni huyo mwingine....
Duh,sayansi kiboko!
Kweli sayansi kiboko...in near future tutaanza kuweka terms hizi: mama mzazi, mama mlezi, mama wa kinasaba
 
Duuuh huyo hapo mwenye mtoto ni Tyra Banks??!! Hahaaa shikamoo make up!

Btw, kama kumbukumbu zangu haziongopi, nilishawahi kusoma mahali fulani kuwa Tyra ni mmoja kati ya wahanga wa endometriosis. Too bad!

Hapo kwenye RED, tupeane maujuzi, ndo kitu gani hiki???
 
Niliona kwenye kipindi siku moja, mama kaamua kumbebea mwanae wa kike mimba baada ya kujaribu kwa muda na mume wake. . Akajifungua twins kwa operation
 
Niliona kwenye kipindi siku moja, mama kaamua kumbebea mwanae wa kike mimba baada ya kujaribu kwa muda na mume wake. . Akajifungua twins kwa operation
kwakweli kuna wanawake wanateseka sana na inatia huruma sana....wengine umri unaenda na wapo kwenye ndoa za miaka 5+, i wish wangepata nafasi kama tyra na wengineo.
Najua wapo kinamama ambao wako tayari kabisa hata bure kusaidia kubeba mimba ila sasa tunahitaji organisers kushikilia kibendera kwa mfano kama ilivyoanzishwa chama cha wanasheria wanawake, pia guidelines/ sheria za serikali kuhuhusu hili la surrogate mothers, najua wataalam wapo waliosomea haya, na wapo madokta wanafanya miujiza mfano clinic moja pale sinza kwa ndani hivi makaburini, wamewapa matumaini wazazi wengi sana walohangaika kwa kweli.
labda tatizo ni ku set up hizo special clinics na modern equipment, Naamini nchi zinazoongoza na kuwa namafanikio kwenye hili wanaouwezo kushare na wataalamu wapya the same way kama ushirikiano uliopo kwenye maswala ya magonjwa ya moyo na India....
Israel pia wako vizuri...kama walitusaidia kuijenga JKT sidhani kama watashindwa hili...
Mahusiano ya kiwa formal sana na recognition ya msaada, success inapatikana.....ndio kazi za mabalozi hizi na wasifiwe kweli wamewakilisha taifa,
Pia vizawadi.....kakisima kamoja ka gesi kuwapa kwa hili la kuimarisha afya ya jamii ya tanzania kuna ubaya gani,,,,,
 
Ikifika siku anahitaji mbegu usisite kuniona, am siriaz on it kuliko niziache kwenye kimfuko(condom) acha nimsaidie tu mhitaji
Hivi Tanzania hatujaanza kuwa na sperm banks.....hahahah....ila damu tu bado tuko nyuma sana dah!.....it's a long way to go
 
Back
Top Bottom