Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 748
- 650
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R ,Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli?
Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye tyre.
Ukipita gereji unaweza kupata jibu la hili swaliWataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R ,Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli?
Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye tyre.
Wabongo mna mambo! Mbona tunatumia miaka na miaka hizo hizo Good ride na wenzie?tyre ya China inafunga kwenye gari lako? Ongea hela upata tyre, sio hizo
Personally siziamini, siwezi kuzitumiaWabongo mna mambo! Mbona tunatumia miaka na miaka hizo hizo Good ride na wenzie?
Gari binafsi au ya biashara ? Maana kuna sababu kwa nini watu tunatumia hizo cheap version tyresPersonally siziamini, siwezi kuzitumia
Hapa wala sikupingi.Personally siziamini, siwezi kuzitumia
Hii ni myth tu. Kuna gari ninayo imeingia mwaka Jana December na tairi tatu za 2016, moja ya 2019 nimesafiri nazo sana hazijawahi kuniletea shida hadi leo zipo sijabadili.kama ndo yenyewe means week ya 12 ya mwaka huu ...
kununua taili kwa kuangalia mwaka ni kitu muhimu sana , ukizubaa wanakupiga ya 2019 imebakiza mda mchache expired time
sikupingi naamini hizo ni tail nzuri zenye qaulity kwenye soko sio hizo botto au za kichina fakeHii ni myth tu. Kuna gari ninayo imeingia mwaka Jana December na tairi tatu za 2016, moja ya 2019 nimesafiri nazo sana hazijawahi kuniletea shida hadi leo zipo sijabadili.
πππ nilipata tyre burst mbili porini ilibidi ninunue hio Boto maana ndio iliokuwepo.sikupingi naamini hizo ni tail nzuri zenye qaulity kwenye soko sio hizo botto au za kichina fake
hahahahahaaahπππ nilipata tyre burst mbili porini ilibidi ninunue hio Boto maana ndio iliokuwepo.
Kiongozi kwa majibu haya hujamsaidia muuliza swali,kumbuka uwezo wa kununua ndio unatutofautisha ni maduka gani tunaenda kufanya manunuzi.tyre ya China inafunga kwenye gari lako? Ongea hela upata tyre, sio hizo
Muuliza swali ,jibu hili hapa.Kwa mantiki hiyo hizo tyre ni mpya za mwaka huu kama ulivyoambiwa na muuzaji.Ungekuja na picha za hizo namba ingefaa. Maana namba huwa zinakuwa nyingi kwenye tairi....