Tyre aina ya linglong 185/70/14. Kuna namba imeandikwa 1221 muuzaji ananiambia ni ya mwaka huu je ni kweli?

Hebu nieleweshe Tyre huwa ina expire baada ya muda gani?
Tyre will expire kwa kuwa determined na factor mbili kwa ufahamu wangu, ambao ni muda tangu itengenezwe (nafkiri after Miaka Minnie au mitano) na kulingana na umbali (kilometer) ambazo tair imetembea (hapa hata Kama muda haijafika kilometer zikifika tupa tairi)
 
Thank u mkuu! Ila Je ni sawa kusema Dawa zote zilizopo pharmacy/dukani zitaexpire baada ya miaka say 3 au 4 tangu zilipotengenezwa?
 
Tyre will expire kwa kuwa determined na factor mbili kwa ufahamu wangu, ambao ni muda tangu itengenezwe (nafkiri after Miaka Minnie au mitano) na kulingana na umbali (kilometer) ambazo tair imetembea (hapa hata Kama muda haijafika kilometer zikifika tupa tairi)
Umejibu kisiasa hoja ya kisayansi
 
Hii ni myth tu. Kuna gari ninayo imeingia mwaka Jana December na tairi tatu za 2016, moja ya 2019 nimesafiri nazo sana hazijawahi kuniletea shida hadi leo zipo sijabadili.
Ni bahati yako tu kuwa hujatokewa na tatizo....

Lakini haiondoi ukweli kuwa tairi zako zimesha - expire na kwa ushauri tu, yatumie kwa safari fupifupi za hapo mjini/kijijini kwako na kwa kutembea minimum speed isiyozidi 50KM/H huku ukijipanga kununua tairi mpya...

Meanwhile, don't go long safari ukiwa high way kwa speed inayozidi 80KM/H. It's very dangerous for you, your car na kwa watu wengine...!
 
Nafikiri hujasoma post yote. Nimekwambia nimesafiri nazo sana na ni mtu wa kutembea kweli kweli na hazikuwa na shida yoyote. Nimezibadili miezi michache iliopita na nimeweka za Kichina ambazo kuna watu humu humu wanasema hazifai. Nina uzoefu wa kutosha kwenye magari. Na sio mara ya kwanza, na hata kesho nikiagiza gari ingine ikaja na tairi ambazo naziona ziko vizuri sibadilishi kama myth zinavyotisha watu.
 
Asante, umeeleweka..
 
Ni bahati yako tu kuwa hujatokewa na tatizo....

Lakini haiondoi ukweli kuwa tairi zako zimesha - expire na kwa ushauri tu, yatumie kwa safari fupifupi za hapo mjini/kijijini kwako na kwa kutembea minimum speed isiyozidi 50KM/H huku ukijipanga kununua tairi mpya...

Meanwhile, don't go long safari ukiwa high way kwa speed inayozidi 80KM/H. It's very dangerous for you, your car na kwa watu wengine...!
Duuh hii imenishtua kidogo. Hizi Gari used tunanunua Japani( tunaita mpya) inakuja unaamviwa tyre hizo poa halafu gari yenyewe ya mwaka 2002. Unachakaza mjini kwa miaka 2 unamuuzia na mwingine anachakaza miaka kama tano hivi speed kila siku 80km/h na hajawahi kubadilisha zaidi ya kuongeza upepo tu.
 
Back
Top Bottom