Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Upo sahihiNi la Mwaka huu, wiki ya 12 Mwaka 2021. Maana ake kwenye mwez wa tatu hivi lmetengenezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiNi la Mwaka huu, wiki ya 12 Mwaka 2021. Maana ake kwenye mwez wa tatu hivi lmetengenezwa
Ni kwa neema tu...Duuh hii imenishtua kidogo. Hizi Gari used tunanunua Japani( tunaita mpya) inakuja unaamviwa tyre hizo poa halafu gari yenyewe ya mwaka 2002. Unachakaza mjini kwa miaka 2 unamuuzia na mwingine anachakaza miaka kama tano hivi speed kila siku 80km/h na hajawahi kubadilisha zaidi ya kuongeza upepo tu.
Brother comment yako imenichekesha Sana lkn imekaa kimantiki Sana, kwamba wachina feki hawana maana wao wanafeki vya wenzao🙌🙌hizo ndio tairi mkuu piga kazi,mpya hizo,,brand zingine yamebaki majina tu,brand za kichina hazina feki,maana wao ndio wanafeki brand za wenzao,,basi za abiria za kichina,,zhongtong zina nguvu sana milimani,hazina feki..