Duuh hii imenishtua kidogo. Hizi Gari used tunanunua Japani( tunaita mpya) inakuja unaamviwa tyre hizo poa halafu gari yenyewe ya mwaka 2002. Unachakaza mjini kwa miaka 2 unamuuzia na mwingine anachakaza miaka kama tano hivi speed kila siku 80km/h na hajawahi kubadilisha zaidi ya kuongeza upepo tu.
hizo ndio tairi mkuu piga kazi,mpya hizo,,brand zingine yamebaki majina tu,brand za kichina hazina feki,maana wao ndio wanafeki brand za wenzao,,basi za abiria za kichina,,zhongtong zina nguvu sana milimani,hazina feki..