Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
- #281
Inauma? Kuambiwa ulichoamini miaka yote ni uongo?Na ndiye aliyeondoka na Ndondi zake na kutuachia ujinga ujinga ulingoni tunaouona sasa!
Eti Tyson kaondoka na ndondi zake. Sijawahi kujua kama kuna bondia mwingine amewahi kumng'ata mtu ulingoni.
SIJAWAHI
A disgrace to the sport eti ndiyo aondoke na ndondi zake? Ukiachilia rekodi ya kutwaa ubingwa akiwa na miaka 22 nitajie rekodi unayojua wewe ambayo hakuna bondia aliyeifikia.