Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Na ndiye aliyeondoka na Ndondi zake na kutuachia ujinga ujinga ulingoni tunaouona sasa!
Inauma? Kuambiwa ulichoamini miaka yote ni uongo?

Eti Tyson kaondoka na ndondi zake. Sijawahi kujua kama kuna bondia mwingine amewahi kumng'ata mtu ulingoni.

SIJAWAHI

A disgrace to the sport eti ndiyo aondoke na ndondi zake? Ukiachilia rekodi ya kutwaa ubingwa akiwa na miaka 22 nitajie rekodi unayojua wewe ambayo hakuna bondia aliyeifikia.
 
Hahaha bob mbona umeshikilia swala la kurudiana hivi unajua tumeanza wapi hadi kufika hapo?
Kwa taarifa yako hoja zako zako ulizoandika juu ya Tyson kutokuwa bondia ambaye ni overrated kwa mujibu wako (WEWE) umeandika kuwa alipofanya marudiano ya mpambano alipigwa hakuwa ana shinda nikakwambia waambie waandaaji au ili iwe rahisi fanya utume maoni ili kuondoa overrate issues mabondia wapewe mikanda baada ya marudiano (kwa mujibu wa akili yako) ss we unaposema sijui ulikotokea labda ni wewe HUELEWI AU HUJUI ULICHOANDIKA

Umekazania ubishi wa uwongo bila ya Tyson hayo majina mengine tungeyajuaje unakuja wewe kama dish limeyumba unaandika andika tu tafuta wajinga uwaaminishe hizo hoja zako SIYO kwenye hili jukwaa la Great thinkers Kabla hujaanza kuoverrate na kuunderrate jukwaa.

Na Kwenye hii mada umeyumba SANA Brother au hujaelewa ulichoandika watu wakusaidie?.
 
Mbona hueleweki chief?

Unachanganya mno mambo.

Ushauri: Endelea kujichanganya humu jukwaani utajua hoja zinapangwa vipi.

Anyway, tukirudi kwenye mada. Huu uzi umeandika kwanini yeye ni overrated. Wenyewe kama wenyewe umejibu hilo swali. Huku ulipodandia wewe kumekuja baada ya mwingine aliyepaniki kama wewe kuleta hoja komedi ndiyo zikajibiwa na hicho ulichokidandia.

Kwahiyo ni hivi: Kama unajua huu uzi umepotosha, kuna Updates nilizipandisha kwenye uzi. Zijibu hizo na jibu uzi husika.
 
Uzi husika ndo huo, na ninachokujibu ndo hicho
Kama hukuelewa au Hukujua Ulichoandika katafute mada nyingine huu Uzi ni Upotoshaji unabaki unatapatapa eti tafuta hoja kwenye Uzi kwani hujui ulichoandika?
Kusanya watu kwenye Kijiji chako waambie hizo hoja si huku Mzee Umechemka.
 
Castr,

Bado nipo kwenye huu huu uzi journey man we ndo ulimpa kipimo cha Uzee? Na vigezo vya mabondia waliokuwa aged kwa mujibu wako unadhani walishindwa kutafuta wengine waliokidhi vigezo? Au ni wewe ulikuwa unawapanga kwenye mashindano ndo ukajua walikuwa not matching to Tyson?
 
Bado hakuna aliyeijibu challenge hii - atajwe bondia ambaye alikua wa moto na Tyson wa moto kisha walipokutana Tyson akashinda.
Kama kuna waliokuwepo ungewapeleka wewe maana nahisi masharti na vigezo ulikuwanavyo wakakukatalia
 
Tyson was known for his ferocious and intimidating boxing style as well as his controversial behavior inside and outside the ring. Nicknamed "Iron" and "Kid Dynamite" in his early career, and later known as "The Baddest Man on the Planet", Tyson is considered one of the best heavyweights of all time.

Take it or Leave it.
 
Nimekusoma vizuri na nimegundua unaifahamu Boxing.

Ulivyoviandika ni ukweli mtupu, Mike Tyson alibebwa sana na Media, na kipindi yupo karibu na kina Tupac na wanahiphop wengine wa wakti huo ndio kipindi ambacho alitangazwa sana.

Don King alikuwa anamtumia Tyson kupata pesa, ni kama mapromoter wa bongo miaka ya 1999-2010 walivyowatumia wasanii wa Bongo Fleva kujipatia kipato kikubwa kuliko wasanii hao.

Tyson asingeweza kwa vyovyote kumpiga foreman, Frazier wala Evander.

Upo sahihi. Castr
 
Mzazi kama hauwezi kuandika kistaarabu hakikisha hauendi kuripoti kwa mods. Kila mtu anajua lugha chafu, tunapoamua kuandika kwa hoja tunakua tumeamua kuheshimiana ingawa hatujuani. Kama hauna cha kupinga juu ya hizi hoja rudi kitandani ulale.
 
Sasa mpaka sasa ni Bondia gani mwenye record nzuri duniani ukimtoa Mike Tyson na utuchambulie
Rekodi ipi unataka? Ya kung'ata yupo peke yake, ya kukimbia watu yupo yeye, Patterson, AJ na wengine. Wewe unataka rekodi ipi?
 
Kiafrica Africa mabondia wetu ni.... Kutoka ma era na kila mmoja alivyohit (the greatest as per era and their time) ka ifuatavyo...

1. Mohamed Ali
2. Mike Tyson
3. Evender Hollyfield / Lennox Lewis .
Hawa nimewaweka pamoja coz they both were at their pick at the same.. Most importantly they were the rivals. And most likely they retired synonymously.
4. The Klitscko's Family. Wladmir and his brother Vitali. Hawa walikaa na mkanda muda mrefu mnooo.. Hakukua na mtu wa kuwashusha kwa muda mrefu sana. Hadi alipotokea Tyson Fury akamdunda Wladmir kulee Ukraine. And their reign ended like that...

...from there ...there has never been a boxer matching the qualities of the above four.
 

Unaongelea Africa?

Kisha unawataja wakina Muhamad Ali, Tyson, Evander, Lewis na Klitschiko.

Tyson Fury alivyompiga Wladmir, Vitali alimwambia nini Fury? Nini kikafuata baada ya Fury kuwa challenged na Vitali?
Era ya Klitschiko iliisha pale? Kwahiyo AJ juzi alipigana na has been?
 
Sizungumzii fights na stories like .....what came after or what came next.... Im talking about the eras of the remarkably greatest heavy weight boxers of all time.

Sisi huku bongo aka Afrika... Hao ndio tunaowajua. Na infact they are the greatest.. Kila mmoja anastahili heshima ya kipekee kwa muda aliotawala...reigning...

Sasa wewe unaanza kuja na story. Mi sina story.

Unataka nilizungumzie pambano la Joshua na Wlard.. Sio lengo langu. Im talking about eras of the Greatest Champs.

Upo.!?
 

'... huku Bongo hao ndo tunaowajua'

Sasa mbona nikikutajia wengine wenye uwezo sawa au zaidi ya hao unabisha kama ndiyo hao pekee unaowajua?

Kwahiyo nilivyoandika Tyson alimkimbia Foreman kwakua humjui ukaona nimetunga?

Sitaki uongelee pambano lolote as wewe hujui kitu. Na maajabu yake unajitia mwehu wakati nimeandika kitu rahisi tu. Wewe umesema era ya Klitschiko iliisha baada ya pambano na Fury so mi nilichoandika kingine eti wewe unasema nimekwambia uzungumzie pambano lao.

Mzee upo serious?

Era of greatest champs? Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo, kenge ndiyo huyo Tyson sasa.
 
Kwani ile gemu ya evander vs tyson iliisha ? Ile gemu kairibu kwa kumpiga vichwa tyson mpaka akampasua juu ya jicho, tyson naye akaamua kumng'ata , hivyo pambano kuvunjika
Hilo lilikuwa la pili, la marudiano, baada ya kuwa amedundwa kisawasawa kwenye pambano lile la kwanza. Walipigana mara mbili chini ya mda mfupi sana. Nadhani ni kwa sababu watu wengi walishindwa kuamini baada ya kuwa amepigwa kwenye lile la kwanza
 
Record zinazungumza, no way you can win against reality. Na haina sababu za maana za kupoteza muda kwa yoyote kupingana na MTU ambaye anafukuzana na uhalisia.

Tyson kwa tulioshuhudia alikuwa mkali kwa kipindi chake si kwa pambano moja tu bali huwezi kukubalika bila kuwa na uwezo. Mapambano yote na akina Evander lenox n.k Tyson alikuwa anaelekea ukingoni huku akiwa ameshashinda kila kitu.
 
Tyson alikua anaelekea ukingoni? Evander alikua anaelekea wapi? Nani alikua mkubwa kiumri kati yao mpaka useme Tyson alikua anaelekea ukingoni il Lennox na Evander walikua wapo kwenye prime?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…