Hujui kitu.Uchambuzi hovyo kabisa. Hakuna bondia aggressive kama Mike Tyson. Unamfananisha na nani ? Kwa mfano.
Tyson Ni bora mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Castr,
Unachokisema wewe leo ndicho ninachokisema kila siku hata jana kuna mtu humu nilimwambia Tyson ni bondia wa kawaida sana anakuzwa tu, kwanza hana pumzi pia hawezi kuvumilia makonde.
Soma uzi halafu soma zile updates zina majibu juu ya hoja yako ya Ali kupigwa.huyu mwanaume alipigana mapambano 14 ndani ya mwaka mmoja 1985,..unawataja akina Holmes na foreman ulitaka apambane na Nani na ndiyo walikuwa on peak kwa kipindi hicho
unamsema Tyson alipigwa na evander kwani huyo muhamad Ali hakupigwa?Tena akiwa kwenye prime yake haswaaa
achana na Mike chuma Cha pua Tyson,alimkalisha pande la mtu Frank Bruno,akiwa anaishia alimchapa Andrew golota Hadi jamaa akasepa raund ya tatu jamaa akagoma kurudi na kuelekea vyumbani
kwa Mimi hata Sasa ukiweza kumrudisha Tyson yule wa miaka ya 80 mwishoni na 90 atachapa Hawa wakina Wilder,Joshua,Ruiz,
Tyson sio kuwachapa tuu, atawaua kama sio Kuwatiaa uchiziihuyu mwanaume alipigana mapambano 14 ndani ya mwaka mmoja 1985,..unawataja akina Holmes na foreman ulitaka apambane na Nani na ndiyo walikuwa on peak kwa kipindi hicho
unamsema Tyson alipigwa na evander kwani huyo muhamad Ali hakupigwa?Tena akiwa kwenye prime yake haswaaa
achana na Mike chuma Cha pua Tyson,alimkalisha pande la mtu Frank Bruno,akiwa anaishia alimchapa Andrew golota Hadi jamaa akasepa raund ya tatu jamaa akagoma kurudi na kuelekea vyumbani
kwa Mimi hata Sasa ukiweza kumrudisha Tyson yule wa miaka ya 80 mwishoni na 90 atachapa Hawa wakina Wilder,Joshua,Ruiz,
Bado sijaona kama Tyson, ule motoUpo sahihi kabisa. Sahivi mapambano heavyweight ya kichovu kinoma. Watu wanaviziana viziana na kukumbatiana tu ,hakuna burudani yoyote, unaona tu pambano limeisha.
Iron alikua anafata kama nyuki. Hata kama kapigwa bado utaona raha ya pambano.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Mtoa Mada, unaweza kuwa una vijihoja lakini Mtizamo wa Chuki Umekujaa sana na hilo ni tatizo lililodhalilisha bandiko lako
Mkuu nipe link ya kitabu aiseCastr,
Natamani nikuazime kitabu cha Mike Iron Tyson ili ujue ukweli.
Cus D'Amato hakumuokota Tyson mitaani. Alipelekwa kwake na mtu mwingine aliyemwona Tyson kwenye gereza la watoto na akaona talent yake.
Kwenye hicho kitabu anaeleza vizuri jinsi alivyopigwa Japan.
Kifupi kama Tyson haji kutokea kirahisi.
Ni hard copy
Bob katika ngumi kila ngumi inayotua usoni ni point. Flash moves zile ni za kufanya wasiojua ngumi wabaki na ubishi.Nlishangaa pale mayweather alivochapwa na Manpaquiao,,
Alafu akabebwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa umeongea points tupu mkuu,Mayweather Ni mtu anayecheza ngumi za counter attack mda wote anajilinda na ukimbamba kwenye corner utaona Kama umemuotea utarusha ngumi nyingi na zote Anajua kizikwepa na ukikaa hovyo atakustua na moja ya kumaliza pambano,...go and watch Floyd vs hattonBob katika ngumi kila ngumi inayotua usoni ni point. Flash moves zile ni za kufanya wasiojua ngumi wabaki na ubishi.
Mayweather ngumi zake ngapi zilitua usoni? PacMan ngapi zilitua usoni?
Mayweather alionyesha tangu mwanzo kua hataki kwenda toe to toe na PacMan. Same technic ndiyo kaitumia AJ kwa Ruiz, same technic ilitumika na Young dhidi ya Foreman, same technic imetumiwa na Ali kwa Liston.
Kama uliangalia pambano la pili la AJ na Ruiz utaona Ruiz akawa analazimisha mwishoni waende toe to toe. So nachelea kusema kua unapenda kuona watu wakibox ila haujui sheria na techs za kushinda
Hata wewe ukipigana na mtu aliyekuzidi miaka 20 leo hii huku wote mna mazoezi sawa, unaweza kumtoa mtu kwa K.O.tyson ni moto asee.tyson anakalishamtu round ya 3 kwa K.O alafu unasema anabebwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na boxers wanajua kucheza na akili za mashabiki. Atarusha ngumi nyingi za haraka haraka ambazo hata hazifiki usoni, shabiki asiyejua anaona jamaa kashinda kumbe hamna kitu.hapa umeongea points tupu mkuu,Mayweather Ni mtu anayecheza ngumi za counter attack mda wote anajilinda na ukimbamba kwenye corner utaona Kama umemuotea utarusha ngumi nyingi na zote Anajua kizikwepa na ukikaa hovyo atakustua na moja ya kumaliza pambano,...go and watch Floyd vs hatton
Huo moto,tyson ni moto asee.tyson anakalishamtu round ya 3 kwa K.O alafu unasema anabebwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
lkn na yeye alikuwa anapasuliwa na ngumi zinaingia,anavimba anapasuka anakwepa panchi nzito nzito za wakongwe mpaka mwisho anapata ushindi.Hata wewe ukipigana na mtu aliyekuzidi miaka 20 leo hii huku wote mna mazoezi sawa, unaweza kumtoa mtu kwa K.O.
Hata wewe promota akiamua kukupa ujiko anakutafutia journeymen uongeze rekodi mfano Mwakinyo alipigana na Tinampay, Tinampay kabla ya kupigana na Mwakinyo alikua amepoteza mapambano 25 na Mwakinyo akashindwa kumpiga kwa K.O. tukisema Mwakinyo anabebwa tutakua tumekosea?
Sasa huo mfano hamisha kwa Tyson.