Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

huyu mwanaume alipigana mapambano 14 ndani ya mwaka mmoja 1985,..unawataja akina Holmes na foreman ulitaka apambane na Nani na ndiyo walikuwa on peak kwa kipindi hicho
unamsema Tyson alipigwa na evander kwani huyo muhamad Ali hakupigwa?Tena akiwa kwenye prime yake haswaaa

achana na Mike chuma Cha pua Tyson,alimkalisha pande la mtu Frank Bruno,akiwa anaishia alimchapa Andrew golota Hadi jamaa akasepa raund ya tatu jamaa akagoma kurudi na kuelekea vyumbani

kwa Mimi hata Sasa ukiweza kumrudisha Tyson yule wa miaka ya 80 mwishoni na 90 atachapa Hawa wakina Wilder,Joshua,Ruiz,
 
Soma uzi halafu soma zile updates zina majibu juu ya hoja yako ya Ali kupigwa.
 
huyu mwanaume alipigana mapambano 14 ndani ya mwaka mmoja 1985,..unawataja akina Holmes na foreman ulitaka apambane na Nani na ndiyo walikuwa on peak kwa kipindi hicho
unamsema Tyson alipigwa na evander kwani huyo muhamad Ali hakupigwa?Tena akiwa kwenye prime yake haswaaa

achana na Mike chuma Cha pua Tyson,alimkalisha pande la mtu Frank Bruno,akiwa anaishia alimchapa Andrew golota Hadi jamaa akasepa raund ya tatu jamaa akagoma kurudi na kuelekea vyumbani

kwa Mimi hata Sasa ukiweza kumrudisha Tyson yule wa miaka ya 80 mwishoni na 90 atachapa Hawa wakina Wilder,Joshua,Ruiz,
Tyson sio kuwachapa tuu, atawaua kama sio Kuwatiaa uchizii
Baada ya yeye kustaafu pamoja na kinaa Lenox, ndongaaa uzito wa juu zimekufa kabisaa, walobaki hawaa kinaa Joshua
Ni ujanja ujanja
Ngumiii zikaenda uzito wa Kati kwa kinaa
Saul Alvarez Canelo
Pacman paquiaoo
Triple G
El chino Maidana
Kina Cotto
 
Upo sahihi kabisa. Sahivi mapambano heavyweight ya kichovu kinoma. Watu wanaviziana viziana na kukumbatiana tu ,hakuna burudani yoyote, unaona tu pambano limeisha.

Iron alikua anafata kama nyuki. Hata kama kapigwa bado utaona raha ya pambano.
Bado sijaona kama Tyson, ule moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Castr,
Natamani nikuazime kitabu cha Mike Iron Tyson ili ujue ukweli.

Cus D'Amato hakumuokota Tyson mitaani. Alipelekwa kwake na mtu mwingine aliyemwona Tyson kwenye gereza la watoto na akaona talent yake.

Kwenye hicho kitabu anaeleza vizuri jinsi alivyopigwa Japan.

Kifupi kama Tyson haji kutokea kirahisi.
Mkuu nipe link ya kitabu aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlishangaa pale mayweather alivochapwa na Manpaquiao,,

Alafu akabebwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bob katika ngumi kila ngumi inayotua usoni ni point. Flash moves zile ni za kufanya wasiojua ngumi wabaki na ubishi.

Mayweather ngumi zake ngapi zilitua usoni? PacMan ngapi zilitua usoni?

Mayweather alionyesha tangu mwanzo kua hataki kwenda toe to toe na PacMan. Same technic ndiyo kaitumia AJ kwa Ruiz, same technic ilitumika na Young dhidi ya Foreman, same technic imetumiwa na Ali kwa Liston.

Kama uliangalia pambano la pili la AJ na Ruiz utaona Ruiz akawa analazimisha mwishoni waende toe to toe. So nachelea kusema kua unapenda kuona watu wakibox ila haujui sheria na techs za kushinda
 
hapa umeongea points tupu mkuu,Mayweather Ni mtu anayecheza ngumi za counter attack mda wote anajilinda na ukimbamba kwenye corner utaona Kama umemuotea utarusha ngumi nyingi na zote Anajua kizikwepa na ukikaa hovyo atakustua na moja ya kumaliza pambano,...go and watch Floyd vs hatton
 
tyson ni moto asee.tyson anakalishamtu round ya 3 kwa K.O alafu unasema anabebwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe ukipigana na mtu aliyekuzidi miaka 20 leo hii huku wote mna mazoezi sawa, unaweza kumtoa mtu kwa K.O.

Hata wewe promota akiamua kukupa ujiko anakutafutia journeymen uongeze rekodi mfano Mwakinyo alipigana na Tinampay, Tinampay kabla ya kupigana na Mwakinyo alikua amepoteza mapambano 25 na Mwakinyo akashindwa kumpiga kwa K.O. tukisema Mwakinyo anabebwa tutakua tumekosea?

Sasa huo mfano hamisha kwa Tyson.
 
hapa umeongea points tupu mkuu,Mayweather Ni mtu anayecheza ngumi za counter attack mda wote anajilinda na ukimbamba kwenye corner utaona Kama umemuotea utarusha ngumi nyingi na zote Anajua kizikwepa na ukikaa hovyo atakustua na moja ya kumaliza pambano,...go and watch Floyd vs hatton
Na boxers wanajua kucheza na akili za mashabiki. Atarusha ngumi nyingi za haraka haraka ambazo hata hazifiki usoni, shabiki asiyejua anaona jamaa kashinda kumbe hamna kitu.

Robert Duran kwa mbinu hii aliwahi kugewa ushindi hivi hivi.
 
Hata wewe ukipigana na mtu aliyekuzidi miaka 20 leo hii huku wote mna mazoezi sawa, unaweza kumtoa mtu kwa K.O.

Hata wewe promota akiamua kukupa ujiko anakutafutia journeymen uongeze rekodi mfano Mwakinyo alipigana na Tinampay, Tinampay kabla ya kupigana na Mwakinyo alikua amepoteza mapambano 25 na Mwakinyo akashindwa kumpiga kwa K.O. tukisema Mwakinyo anabebwa tutakua tumekosea?

Sasa huo mfano hamisha kwa Tyson.
lkn na yeye alikuwa anapasuliwa na ngumi zinaingia,anavimba anapasuka anakwepa panchi nzito nzito za wakongwe mpaka mwisho anapata ushindi.
alafu anabebwaje sasa hapo na mambo hadharani ?
moja kati ya sifa za boxer mzuri ni kuwa mzoefu kwa maana kupata mapambano mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom