Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Kwa ukongwe wako na conclusion uliyokuja nayo hata hamuendani. Conclusion? Nina chuki, ila hauonyeshi kivipi.

Pengine ulitakiwa kusema nina chuki kwakua nimeandika uongo au nimeongeza chumvi. Lakini conclusion yako wewe? Ni nina chuki. Kisa nimeandika ukweli?

My first time knowing boxing ilikua najua Tyson = boxing nothing less. Now watu wengi mmestuck hapo hamuamini mkiambiwa alimkimbia Foreman, hamuamini kama Don King alimbeba, hamuamini kua alipigana na wazee na journeymen.

Conclusion yako ni nyepesi kweli kweli. Holyfield na Tyson wanaweza wakakutana lakini kamsikilize na Lights Out Toney kasema nini juu ya hawa wawili kurudi.
 
Tyson yupi? Before jail or after jail?
Before jail Tyson alikuwa undisputed..
Mikanda yote ya kwake..
Na ukishakuwa undisputed huchagui bondia wa kupigana nae..
Unaletewa na vyama their no 2..

Ndo maana Holifield alipangwa kupigana na Tyson ..kama ubingwa wa dunia..but Tyson akapoteza Kwa buster..
Holifield kama no 2 akaenda pigana na buster kwanza na sio Tyson...

Tyson akapangwa kupigana na Holifield na tarehe ikapangwa..but akahukumiwa jela..
 
Umeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…