Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
-
- #41
Unasema Tyson hajawahi kupigwa kwa KO/ TKO? Mbona nimeeleza kwenye uzi mapambano aliyopigwa kwa KO?Mkuu nimesoma hoja na baadhi ya comments zako,na maoni yangu ni haya:
1. Kipindi cha kina Tyson,kilikuwa ni shifting era toka kwenye boxing kama burudani(more of an entertainment) kuja kwenye biashara(more of a business). Ukifatilia vizur kwny hizi zama mbili,utagundua kuwa kwny era ya kwanza boxing iliongozwa/endeshwa na passions,techniques na legacy(political/social) wakati kwny era ya pili economic factors zilikuwa most influencial na hivyo kufifiza passions na techniques ambazo zilileta real fights in the boxing ring.
2. Kutokana na sababu hiyo hapo juu,Promoters na Promotion companies zilikuwa na sauti zaidi ya bondia na technical team yake. Hivyo issue kama kupigana na opponent gani,kwa wakati gani na kwa gharama gani vilikuwa chini ya wadhamini na si bondia.
3. Sababu ya 1 na ya 2, zikapelekea changes in boxers' mindset (Tyson in particular) from entertainment to business as well.
4. Mabondia wengine (pamoja na uliowaorodhesha) kwa zama hizo walipambana na target fights zao zilikuwa kupata match against Tyson ambaye alikuwa the most rated boxer hivyo ukipata pambano na Tyson hata ukipigwa unaweka mpunga mrefu mfukoni(hii ni domino effect ya sabab ya 1 hapo juu) kuwa 'pigana upate pesa'.
5. Ukiwa kwenye situation namba 4 hapo juu with plent of options around, hata kama ni wewe utachagua pambano linaloguarantee ushindi(kwa nn uchanganye pilau yako na mlenda?). Hata ccm jana walichagua kupambana na TLP na UDP et all na sio CHADEMA.
5. Kuhusu issue ya hofu,hiyo ni kawaida unapokuwa umeinvest kwny jambo fulani lazima uwe na fear. Tyson na promoter wake walikuwa sahihi. Hii hata Mayweather Jr ameitumia sn ingawa tofauti na Tyson,Mayweather Jr alihakikisha anakuwa na muda mzuri wa kujiandaa na kumsoma mpinzani ambayeni tishio kabla ya kumvaa. Naye pia alikataa mapambano mengi ya wababe na alipigana when he felt the time was right for him.
6. Kwa kumtaza Tyson akipigana,nikiri kuwa the talent was there,he had the passion to fight and he was a natural warrior.
Angeweza kuwadefeat hao uliowataja kama angetumia technique ya Mayweather,huyu jamaa ni genius wa mipango. Pamoja na watu kumtuhumu kubebwa baadhi ya mapambano kwny points, hakuna bondia aliyewah kuondoa huo utata kwa kumpiga kwa KO/TKO,I think this was what Tyson lacked in his days.
Talent was there? So are journeymen. Si yeye aliyekua na talent pekee its why Douglas proved them (him) otherwise.
Mkuu zama za boxing kua business mpaka Tyson anafika kuhama kulishamalizika. Wakina Marciano wenyewe walikua tayari wapo kwenye business. Kipindi ambacho boxing haikua business ni kipindi cha raundi 50 kwa pambano (if you didn't know now you know) na hata kipindi kile wakina Dempsey walishakua matajiri kupitia boxing.
Kusema kua walipambana ili wakapigane na Tyson hauoni unajipinga mwenyewe? Umesema kua promoters wanaamua nani apambane na nani. At the same time unasema boxers fought their way to face Tyson, kivipi sasa?