Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

No, hii imekua point kwakua Tyson mwenyewe alimkimbia Foreman kwa kutamka, siyo second hand ila alisema MWENYEWE. Ingetokea kwamba hakuwahi kuulizwa juu ya Foreman wala nisingeiweka hapa.

Unajua kidogo kuhusu boxing?
Hapana
 
Ungeweka statistics za hao mabondia wakubwa Wa kizazi chake unaowasema vs statistics za Tyson halafu useme hao mabondia wako bora walipigana na kina nani hadi ukawaita bora kuliko tyson. Hili naomba unisaidie
 
Hahaha mzee baba unataka hadi nikutafutie statistics?
 
No, hii imekua point kwakua Tyson mwenyewe alimkimbia Foreman kwa kutamka, siyo second hand ila alisema MWENYEWE. Ingetokea kwamba hakuwahi kuulizwa juu ya Foreman wala nisingeiweka hapa.

Unajua kidogo kuhusu boxing?
Hicho ndo unachokiwaza wewe.. umetawaliwa na mihemko na chuki ndomana unaongea vitu usivyovielewa..

siyo lazima kupigana na kila bondia na pia sababu zinaweza kuwa nyingi zitakazokufanya ukatae kupigana

MFANO.
1. Floyd mayweather kabla ya kupigana na pacquiao miaka mingi kabla alikuwa akiombwa pambano dhidi ya pacquiao ila alikuwa akijizungusha tu na vijisababu visivyoeleweka miaka ikapita ndo akakubali..

Mayweather huyo huyo hadi anatundika gloves hajawahi kukubali kupambana na Amir khan and you still consider him the Great

2.Anthony joshua bado anapiga chenga kupambana na kati ya Deaontay wilder au Tyson fury.. ana sababu zake and you still consider him the great

why umekuja na hoja yako ya George fore man kumfanya Tyson aonekane eti alibebwa?

hakuna sheria inayosema eti ni marufuku kupambana na vikongwe.. hao hao vikongwe wamewatandika vijana wengi tu na hata wao walipokuwa bado vijana walipambana na vikongwe pia wakashinda kwanini rekodi zao zisiwe batili

Tyson huyu huyu mwenye rekodi ya Ko nyingi za mapema mnasema alibebwa.. hivi ushindi wa KO mtu unaanzaje kubebwa..

mchambuzi anatumia facts kueleza mada na si hisia ila nyie wachambuzi wa kibongo ndo kazi yenu kuleta mada kutokana na hisia zenu zinavyotaka na si ukweli unavyosema
 
Mzee lia, garagara, rarua nguo ila hakuna sehemu nimeandika cha uongo.

Na hakuna sehemu nimesema Mayweather ni great.

Tyson alikua anabebwa, overrated. Unabisha pinga kila nilichoandika.
 
Ambacho hujajua ni umetaja watu hatari ambao wewe unasoma tu hadithi za matokeo ya pambano na hauangalii mapambano.

Ona hapa.

Tyson alianza ngumi 1985 mpaka 2005.

Wladmir Klitschko alianza ngumi 1996 mpaka 2017.

Vitali alianza ngumi 1996 mpaka 2013.

Mwaka 1996 Tyson anapigwa na Evander. Akawa amebakisha miaka 9 kustaafu. Nini kilimzuia kukutana na wakina Klitschko?

Kaanza ngumi mwaka 1985, mwaka 1993 Nikolai Valuev anaanza ngumi. Kwanini hujawahi kusikia akimtafuta huyo mtu?

Umepigwa na Evander unapona vipi kwa Vitali? Hilo swali likamfanya asijipendekeze kwa hao watu.
Hebu nitajie bondia wako unaemuona ni bora na akapigana na mabondia woote wa wakati wake na akashindaa...
La pili kama ww unacheza ngumi niambie bondia bora anakuwa na vigezo gani ????..
 
Wewe jamaa rudi soma tena uzi.

Soma comments 10 za mwanzo.

Nilitoa angalizo juu ya kurudia maswali ambayo yashajibiwa.
 
Usikariri umri, kutamba ni kutamba tu bila kujali ni katika umri gani, na kushuka ni kushuka tu, unaweza kutamba mpaka ukiwa na miaka 25, mwenzako aliyekuzidi umri akaanza kutamba akiwa na miaka 30!!Japo Evander kaanza almost 1984 na Tyson 1985 lakini Evander kaanza kutengeneza Era yake ya kutamba baada ya Tyson kutoka Jela jioni kabisa!
Mi nnachofahamu Evander alianza kupigana Cruiserweight, so sio kwamba alianza kutamba jioni, ni kwamba alikuwa ashatisha sana huko Cruiserweight kabla hajahamia Heavyweight

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ubora wa Tyson kuna mapambano mengine yalikuwa kama yanapangwa kumbeba, jaribu kuangalia pambano lake na Bruce Seldon, hakupigwa popote lkn akasanda
Hicho ndo unachokiwaza wewe.. umetawaliwa na mihemko na chuki ndomana unaongea vitu usivyovielewa..

siyo lazima kupigana na kila bondia na pia sababu zinaweza kuwa nyingi zitakazokufanya ukatae kupigana

MFANO.
1. Floyd mayweather kabla ya kupigana na pacquiao miaka mingi kabla alikuwa akiombwa pambano dhidi ya pacquiao ila alikuwa akijizungusha tu na vijisababu visivyoeleweka miaka ikapita ndo akakubali..

Mayweather huyo huyo hadi anatundika gloves hajawahi kukubali kupambana na Amir khan and you still consider him the Great

2.Anthony joshua bado anapiga chenga kupambana na kati ya Deaontay wilder au Tyson fury.. ana sababu zake and you still consider him the great

why umekuja na hoja yako ya George fore man kumfanya Tyson aonekane eti alibebwa?

hakuna sheria inayosema eti ni marufuku kupambana na vikongwe.. hao hao vikongwe wamewatandika vijana wengi tu na hata wao walipokuwa bado vijana walipambana na vikongwe pia wakashinda kwanini rekodi zao zisiwe batili

Tyson huyu huyu mwenye rekodi ya Ko nyingi za mapema mnasema alibebwa.. hivi ushindi wa KO mtu unaanzaje kubebwa..

mchambuzi anatumia facts kueleza mada na si hisia ila nyie wachambuzi wa kibongo ndo kazi yenu kuleta mada kutokana na hisia zenu zinavyotaka na si ukweli unavyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijaona ukiongelea aina ya uchezaji wake ulivokuwa wa kipekee bali umeongelea madhaifu yake tu.

ila mm nampatia hizi sifa.
Jamaa katika uchezaji harudi nyuma
Jamaa mashambulizi yake ya kipekee
Ngumi zake nzito binafs sijawai ona (na kama yupo ambae anacheja kama tyson muweke hapa tumuone)

suala ka kupigwa ilitokea baadae haikuwa ghafla kama bondia wengine. (hapa mtoe Ally)
Maana jamaa alianza kupigwa na watu walojipanga sio tu kichwa kichwa.
 
Alipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom