Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
Hiyo hela aliyolipwa ni hela ya supu ya Maywether ya wiki moja.
Nimekataa. . .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hela aliyolipwa ni hela ya supu ya Maywether ya wiki moja.
mkuu katika ngumi, KO inategemea power punch! Walio katika top ten wote wanahiyo power punch, kwahiyo kusavaiv kwenye ring ni lazima ujue pia kujilinda na hiyo power punch...sasa utascore vipi ushindi! Ni kuwa offensive, ku hit more target , kujilinda mpinzani wako asipate target kuscore points. Aliye hit more punches na ku hit target ndie winner by points. Ni kama ushindi aliopata maywether kwa pacquiao. Maywether hana power punch, pac ana power punch. Kwahiyo maywether aliscore more points kwa ku hit targets na kukimbia kuzuia power punches za pac! Kuna watu pia ni wagumu kuwapiga ko. Mfano holyfield enzi zake. So kuna kipindi ushindi wa points upo valid.
Hiyo hela aliyolipwa ni hela ya supu ya Maywether ya wiki moja.
Lilikuwa pambano kali lenye umakini kwa kila upande!
mayweather umaskn wa utoton unamsumbua,mshamba sana jamaa,japo mweusi ila simpendi
Ameomba rematch,lilikuwa pambano lililoboa mno,ni muda sahihi kustafu sasa..
Ameomba rematch,lilikuwa pambano lililoboa mno,ni muda sahihi kustafu sasa..
Nimekataa. . .
tyson kashinda kwa point mara ngap?