Tyson Fury bingwa mpya wa uzito wa juu Duniani baada ya kumdunda Klitschko


tyson kashinda kwa point mara ngap?
 
Kwa mara ya kwanza Klitschko hakua na height advantage...... Mabondia wengi aliwapiga kwa sababu hii.

Fury alikua anapiga othordox na southpaw huku akidokoa kwa style ya Ali....

Mara nyingine alikua akimdhihaki....mpaka mtanange unaisha Klitschko alikua amekatika upande wa kulia chini ya jicho na kushoto pia.

Kudos Fury
 
QUOTE=inamankusweke;14739287]sipendi ushindi wa point,ndomana naamin hakuna bondia bora kama tyson,ngumi mvululu kama vyumba maktaba[/QUOTE]



Ngumi za kimataifa zilianza kupoteza mwelekeo pale watu kama akina lennox lewis walipoanza kutwaa mataji makubwa ya dunia. Watu hawa hupigana kwa staili ya 'kuwakimbia' wapinzani wao kwenye ring na kuwashika wanapoanza kuona 'mvua' inakaribia. Wanatupa ngumi kwa staili ya kuvizia mpinzan kwa ngumi za kudonoa. Hawa akina Klisko wote nao ndo staili yao hiyo.
 
Ameomba rematch,lilikuwa pambano lililoboa mno,ni muda sahihi kustafu sasa..
 
tyson kashinda kwa point mara ngap?

mkuu umesema hupendi ushindi wa points, mie nimekwambia kwamba sometimes kuna mabondia ni vigumu kuwapiga KO. Kwahiyo ni vema kutafuta ushindi wa points....nikakupa mfano wa mayweather na pac. Tyson alishinda kwa points mapambano yote aliyokutana na mabondia ambao hawakumuogopa....ambao walienda nae pound for pound...nawengine walimpiga tafuta videos uone....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…