Observer
JF HQ
- Oct 18, 2006
- 189
- 299
Bondia Tyson Fury Kutoka Uingereza usiku huu wa leo 28/11/2015 amefanikiwa kutwaa mataji ya WBA, WBO na IBF katika uzito wa Heavyweight baada ya kumdunda kwa points bondia Wladmir Klitschko wa Ukraine ambaye ana makazi nchini Ujerumani.
Tyson amemaliza rekodi ya Klitschko ya kushinda mapambano 22 mfululizo, mara ya mwisho kwa Klitschko kupoteza pambano ilikuwa ni mwaka 2004.
Majaji walimpa Tyson Fury ushindi wa point 115 -112, 115 - 112, 116 - 111