Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hawa jamaa Tyson na mwenzake Crawford si chochote si lolote kwa kifupi ni waoga kupindukia.
Hawa wote wawili wana mkanda mmoja mmoja , Tyson ana WBC Super belt, na Crawford ana WBO lakini wapinzani wao wanaotaka kupigana nao wana mikanda mitatu lakini cha ajabu hivi vijamaa vinakwepa kwepa mixer visingizio kibao.
Tyson Fury ilibidi apambane na Oleksandr Usyk 19 April Wembley Stadium kuunganisha belts nne maana Usyk ana WBA,IBF na WBO ili apatikane Undisputed Champion(Champion mwenye belts zote nne kubwa za kidunia) na Lineal Champion maana kwa Sasa Lineal Champion ni Fury alioupata kutoka kwa Vladimir Klitschko. Tyson anamuogopa sana USYK ,anaogopa atadhalilika kama alivyodhalilika Anthony Joshua kwa kupigwa mara 2 na bondia aliye mpandia uzito 😂😂😂😂😂😂😂.
Wanasema Styles makes fight ,nikimuangalia Tyson Fury naona kabisa hatoboi kwa Usyk ,Anthony Bellew swahiba mkubwa wa Anthony Joshua licha na uwezo wake mkubwa sana wa boxing ila alipigwa K.O moja mbaya sana na Usyk kitu ambacho kinazidi kumuogopesha Gyps King (Tyson Fury).
Tukiachana na Fury ,turudi kwa huyu Terence Crawford (Role model wa Hassan Mwakinyo 🤣🤣🤣🤣) haka kajamaa nako taarabu nyingi ila maajabu hakana .
Ilibidi naye mwaka huu apambane na Errol Spence ila mchizi kachana nyavu kakimbia 😂😂😂 maana Errol Spence alisema anatamani wapambane hata round 20 mpaka mmoja wao asalimu amri kama sio kufia ulingoni kabisa ,Crawford aliposikia hivyo akaona daah hapa nimedandia mtumbwi wa vimbwengo akachapa lapa fastaaaa
Kwa kifupi Crawford na Fury wanatunyima uhondo wapenzi wa ndondi kushuhudia Undisputed Champion kwa uoga wao wa kipumbavu .Hawafai , kazi Yao kupigana na vitoga tu 😂😂😂😂😂Hapo Fury angeambiwa apigane na Dillian Whyte au Deontay chapu angekubali ila kwa Usyk kakimbia