Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Kweli mkuuWadau wa makonde (boxing na ufc) tumekuwa wanyonge sana humu JF.
Masimba na mayanga yametawala mwanzo mwisho humu, uzi kila baada ya dkk 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuWadau wa makonde (boxing na ufc) tumekuwa wanyonge sana humu JF.
Masimba na mayanga yametawala mwanzo mwisho humu, uzi kila baada ya dkk 1
Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona.Ngumi zenyewe za mandonga mnajipoteza wenyewe.
Maskini ya Mungu mpaka anatia huruma.Wamulize spencer kilichomkuta
Ova
Ndo anaziharibu sasa, Mandonga ni mfano wa ubabaishaji.Ila wenzio wanamtumia kuongeza mashabiki.Kumbe wanajisaidia juu ya mabati mvua ikinyesha kimba inarejea uwani.Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona.
Hujui ngumi kabisa huna hoja hata mojahaya erol kachezea kichapo fungua uzi mpya sasa