Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Aug 2, 2023 Thread starter #21 BJB FC said: Wadau wa makonde (boxing na ufc) tumekuwa wanyonge sana humu JF. Masimba na mayanga yametawala mwanzo mwisho humu, uzi kila baada ya dkk 1 Click to expand... Kweli mkuu
BJB FC said: Wadau wa makonde (boxing na ufc) tumekuwa wanyonge sana humu JF. Masimba na mayanga yametawala mwanzo mwisho humu, uzi kila baada ya dkk 1 Click to expand... Kweli mkuu
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Aug 2, 2023 Thread starter #22 taamu said: Ngumi zenyewe za mandonga mnajipoteza wenyewe. Click to expand... Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona.
taamu said: Ngumi zenyewe za mandonga mnajipoteza wenyewe. Click to expand... Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Aug 2, 2023 Thread starter #23 mrangi said: Wamulize spencer kilichomkuta Ova Click to expand... Maskini ya Mungu mpaka anatia huruma.
mrangi said: Wamulize spencer kilichomkuta Ova Click to expand... Maskini ya Mungu mpaka anatia huruma.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Aug 3, 2023 #24 Hance Mtanashati said: Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona. Click to expand... Ndo anaziharibu sasa, Mandonga ni mfano wa ubabaishaji.Ila wenzio wanamtumia kuongeza mashabiki.Kumbe wanajisaidia juu ya mabati mvua ikinyesha kimba inarejea uwani.
Hance Mtanashati said: Hakuna shabiki wa ngumi anayemshabikia mandonga wala kutaka kumuona. Click to expand... Ndo anaziharibu sasa, Mandonga ni mfano wa ubabaishaji.Ila wenzio wanamtumia kuongeza mashabiki.Kumbe wanajisaidia juu ya mabati mvua ikinyesha kimba inarejea uwani.
K Kongolo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 441 Reaction score 434 Aug 3, 2023 #25 themagnificient said: haya erol kachezea kichapo fungua uzi mpya sasa Click to expand... Hujui ngumi kabisa huna hoja hata moja
themagnificient said: haya erol kachezea kichapo fungua uzi mpya sasa Click to expand... Hujui ngumi kabisa huna hoja hata moja