Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Wilder vs Joshua

Nani anatoboa? [emoji3]
Wilder joshua mwepesi kwenda chini wilder ukiwa hauna stamini umeisha kila round utalamba sakafu

Huyu wilder hata andry luiz anaweza asimpige japo luiz alipigwa na joshua ya pili
 
White hamna kitu Kwa sasa
Next hapo ilikuwa awe Joshua lakini kwasasa hana Soko tena ameshanyang'anywa Mkanda!

Usyk analazimika kukinywa Kikombe hiki chenye kinywaji kichungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hiyo list hamna wa kumpiga fury,naamini kwa miaka hii hamna wa kumpiga fury jamaa ni another level
Sema kwa nilivyomuona yule sanchez, akidelay kupata pambano na furry kwa miaka kadhaa na akaendelea kumaintain kiwango basi atakuwa na nafasi ya kumtandika Fury maana ana quick combinations of hard punchs. Japo kwa sasa fury ni wa moto kwelikweli na speed wise na technical wise anamzidi mbali kidogo.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Bless up [emoji3516] man

Ngozi nyeusi imefanya tutoboe lakini wapi [emoji23]

Abdallah Pazi chini, Efe Ajagba chini, Wilder chini

Ni huzuni kwakweli [emoji3]
Huyu abdala pazi kazipiga lini na kazipiga na nani?
 
Kalamba sakafu mara mbili, pumzi, mbinu, wilder hana, boxer wakumpiga furry kwa sasa hakuna, wilder ndiye angeweza, sasa nae shida yake ni hiyo ya kuvizia vizia
Andy luiz
 
Back
Top Bottom