adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
$8 million sio mchezo aiseee
Mchuzi wa kutosha kabisa huo.
Hawa jamaa wanavuta pesa aiseehuo
Huo ndio utofauti wa Mbele na huku kwetu.$8 million sio mchezo aiseee
Mchuzi wa kutosha kabisa huo.
Hawa jamaa wanavuta pesa aisee
Kabisa aiseeHuo ndio utofauti wa Mbele na huku kwetu.
Michezo inalipa
Wilder joshua mwepesi kwenda chini wilder ukiwa hauna stamini umeisha kila round utalamba sakafuWilder vs Joshua
Nani anatoboa? [emoji3]
Hawa akina Dullah Mbabe na Mwakinyo uwalipe hivi?Huo ndio utofauti wa Mbele na huku kwetu.
Michezo inalipa
Hahahaha MkuuHawa akina Dullah Mbabe na Mwakinyo uwalipe hivi?
Wanajitengenezea mapambano kwa kupata ushindi feki
Sent using Jamii Forums mobile app
Joshua kawa mdebwedo
Katika hiyo list hamna wa kumpiga fury,naamini kwa miaka hii hamna wa kumpiga fury jamaa ni another levelFury anasubiria mapambano matatu awe bingwa wa kihistoria.
-Fury vs Joyce
-Fury vs Usyk
-Fury vs Sanchez
AJ sijamuweka hapa maana anaweza kufia ulingoni.
View attachment 1969860
Sema kwa nilivyomuona yule sanchez, akidelay kupata pambano na furry kwa miaka kadhaa na akaendelea kumaintain kiwango basi atakuwa na nafasi ya kumtandika Fury maana ana quick combinations of hard punchs. Japo kwa sasa fury ni wa moto kwelikweli na speed wise na technical wise anamzidi mbali kidogo.Katika hiyo list hamna wa kumpiga fury,naamini kwa miaka hii hamna wa kumpiga fury jamaa ni another level
Kwani hakuna kipengele cha marudiano Kati ya Joshua na UsykWhite hamna kitu Kwa sasa
Next hapo ilikuwa awe Joshua lakini kwasasa hana Soko tena ameshanyang'anywa Mkanda!
Usyk analazimika kukinywa Kikombe hiki chenye kinywaji kichungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu abdala pazi kazipiga lini na kazipiga na nani?Bless up [emoji3516] man
Ngozi nyeusi imefanya tutoboe lakini wapi [emoji23]
Abdallah Pazi chini, Efe Ajagba chini, Wilder chini
Ni huzuni kwakweli [emoji3]
Azaam vip hawaoneshi
Supersport Action boss
wilder hana muda na izo skiill zako, ye anakulia timing tu, ngumi moja kamaliza huzm
Andy luizKalamba sakafu mara mbili, pumzi, mbinu, wilder hana, boxer wakumpiga furry kwa sasa hakuna, wilder ndiye angeweza, sasa nae shida yake ni hiyo ya kuvizia vizia