Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa conference ni kazi mkuu? we njoo ukimalimaliza sepa rudi Kenya fastaDo i need a work permit to attend a conference in Tanzania?? sitaki kuvumaniwa na hawa makachero wa BongoLand.
Hatari sana, hakikisha umewaambia uhamiaji kwamba unakwenda conference na wakushauri kabisa kipi unahitaji, iwe business visa au la.
Pia hakikisha unaye wakili Mtanzania mnayefahamiana naye na uwe muda wote na namba zake za simu
Ukiweza pitia ubalozi wa Kenya, jisajiri pale na uwape taarifa unakwenda kufanya nini Tanzania
Hakikisha muda wote haupo mwenyewe maana jamaa wanaweza kukufuata fuata nyuma kimya kimya kama ilivyo Korea Kaskazini, hivyo kama upo na Wakenya wengine, muwe mnakaa hoteli moja nyote, na kwenda maeneo ya burudani nyote, hata mkiwa maeneo ya burudani usikwende kwa choo mwenyewe, kuwa na mwenzako anayefuata na kusimama karibu nawe au mnakwenda makundi makundi.
Ukigongewa mlango hotelini, kabla ya kufungua kujua nani anagonga mpigie simu wakili au ubalozi wakae on standby.
Hudhuria conference yako na usitake kujadili na Watanzania chochote kinahusu siasa zao, ikishindikana kama vipi msifie sana Magufuli, waambie jinsi Kenya tunampenda rais wao huyo na tunaomba aje atutawale hata siku mbili, kuanzia kwa dereva wa taxi hadi wahudumu wa hoteli muda wote mkijadili chochote wewe sifia tu rais, imba pambio zote za sifa, kama enzi zetu zile za Moi na utawala wa KANU.
Siku zikiisha ukigeuza na kutua JKIA, shukuru Mungu na kurejea hali yako ya kawaida.

woooi, this sounds scary like hell.
Don't be scared bro, just stay on the right track and you will enjoy your time in Tanzania, ensure anytime a political discussion is invoked, always praise president Magufuli, talk about all the good stuffs you can think of, memorize the various things CCM guys in here talks of him, you will be very safe.
wtf let me try to remember things they say about TZ, eg "wako on the rait traki","tutaipiku Kenya kwenye uongozi wa JPM" pia nitachangia kuhusu ukulima wa korosho na jinsi JPM anavyofanya mambo ya busara kununua Korosho kutoka kwa wakulima... sitasahau mambo ya FDI pia.. i got enough material broDon't be scared bro, just stay on the right track and you will enjoy your time in Tanzania, ensure anytime a political discussion is invoked, always praise president Magufuli, talk about all the good stuffs you can think of, memorize the various things CCM guys in here talks of him, you will be very safe.
Wacha kumuingiza Mkenge huyu anajulikana humu sasa asije akaingia na tourism visa wakati anakuja conference. Itakula kwake!Conference ya muda gani ? Kwa uelewa wangu “conference” haihitaji work permit bali “business VISA” kwa nchi nyingi. Ushauri wangu njoo kimya kimya, fanya kazi yako kula bata rudi Kenya. Mambo ya siasa za huku ukiwa huku hayakuhusu, ni kupiga kazi na starehe tu.
wtf let me try to remember things they say about TZ, eg "wako on the rait traki","tutaipiku Kenya kwenye uongozi wa JPM" pia nitachangia kuhusu ukulima wa korosho na jinsi JPM anavyofanya mambo ya busara kununua Korosho kutoka kwa wakulima... sitasahau mambo ya FDI pia.. i got enough material bro
ha ha one more thing, "Jeshi letu ni very powerful in Africa, UK na US wanatuheshimu sana kwa kumtoa Idi Amin"
Good to see that you are actively seeking information on what is legal/Not legal in other countries before travelling..Ignorance of the law is No defence. Its very clear for example that alchohol and homosexuality is banned in Most of middle east. Drugs will earn you a hanging in China.Do i need a work permit to attend a conference in Tanzania?? sitaki kuvumaniwa na hawa makachero wa BongoLand.
Yeees hivi ndivyo inatakiwa iwe lazima muwe na heshima mnapokuja kwenye nchi za watu..
Nchi ya wild animals wanaotafuta Albino