TZ work permit

TZ work permit

Ninahisi wewe ni mgeni, unaruhusiwa kutoa maoni yako vile unavyodhani ni sawa bila ya kumdhalilisha mwenye mawazo tofauti na yako. Karibu sana jamvini.
Nimgeni kujianga ila si kuifahamu
 
Self respect kama ya Amber Ruthy..... When a fool keeps quite, (s)he is deemed to be intelligent.
hahaha i thought so too,watu wafunguana mpaka boot tunajua watz mnapenda bata, no wonder the homo crack down
 
Karibu TZ nchi ya amani ila hatutaki ujinga, huku fata yaliyokuleta ukijifanya mjanja tutakunyoosha. Njoo mjifunze kiswahili kidogo mkaringishie huko kwenu.

#DG
 
Pamoja na kuwaonesha waziwazi kuwa hatuwataki huku, tumewaonesha kwa hisia, maneno na hata kwa vitendo, ajabu ndio kwanza mnazidi kujazana bongo, kweli bongo patamu mazeee
But
Ngoja your medicine is boiling...
 
Kuja na appetite kubwa... kuna auction hapa Tanga kesho.. nyama kwa wingi kwetu... inaitwa all white party.. hehehehe
 
Back
Top Bottom