TZ work permit

TZ work permit

Tutakuja na tutapita hadi Zanzibar na turudi Mombasani.... You are only a troll on JF hata hujawahifika posta na unanguruma hapa kama mbweha mwenye hana mkia. Shamba la bibi Tutakuja mpende msipende and there is nothing you will do. We can bet on that
Achana na Huyo boya kiufupi kilasehemu Kuna mabaya mazuri.karibu Tz
 
Habari ndio hiyo, wewe unaweza kuita upendavyo, Xenophobia, Kenyanphobia au vyovyote upendavyo, ukweli unabaki kwamba wakenya hawatakiwi, sioni sababu ya kujisumbua na kulazimisha kuja huku.

Mimi ningekushauri badala ya kuja Tanzania, ungeenda nchi zingine jirani na Kenya, Ethiopia is the best alternative, very beautiful ladies, economy grows faster than Tanzania, bigger GDP, and bigger country than Tanzania. Please forget about Tanzania.
Acha chuki zako Za kike ww wapi walisema wakenya hawatakiwi
 
Hahahaha .... we karibu tu marafiki zetu tutakupokea vizuri tena itakua njema ukipata mtu wa ufipa maana nasikia wanawapenda wakenya hasa



Usisahau kuwa na passport yako na kitambulisho chako


Tatu ukiondoka usisahau kubeba kiroba cha mchele kutoka mbeya uwapelekee nduguzo
 
Hahahaha .... we karibu tu marafiki zetu tutakupokea vizuri tena itakua njema ukipata mtu wa ufipa maana nasikia wanawapenda wakenya hasa



Usisahau kuwa na passport yako na kitambulisho chako


Tatu ukiondoka usisahau kubeba kiroba cha mchele kutoka mbeya uwapelekee nduguzo

Haya basi mchele though tunatoa Ahero na Sagana.... Labda juisi ya muwa pale Forodhani
 
Acha kujaza watu Wongo. Kwa chuki zako binafsi.
Ninahisi wewe ni mgeni, unaruhusiwa kutoa maoni yako vile unavyodhani ni sawa bila ya kumdhalilisha mwenye mawazo tofauti na yako. Karibu sana jamvini.
 
wtf let me try to remember things they say about TZ, eg "wako on the rait traki","tutaipiku Kenya kwenye uongozi wa JPM" pia nitachangia kuhusu ukulima wa korosho na jinsi JPM anavyofanya mambo ya busara kununua Korosho kutoka kwa wakulima... sitasahau mambo ya FDI pia.. i got enough material bro

I think you will have to stay in your country, kwani ni muhimu sana uhudhurie?
Kwa nini usibaki tu kenya?
 
Back
Top Bottom