Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Wongo ww.nani amekwambia?In short, Kenyans are not welcomed in Tanzania, I advice you not to come, better continue with you businesses.
Achana na Huyo boya kiufupi kilasehemu Kuna mabaya mazuri.karibu TzTutakuja na tutapita hadi Zanzibar na turudi Mombasani.... You are only a troll on JF hata hujawahifika posta na unanguruma hapa kama mbweha mwenye hana mkia. Shamba la bibi Tutakuja mpende msipende and there is nothing you will do. We can bet on that
Acha Wongo ww.nani amekwambia?
Ninahisi boya ni yule aliyechanua mapaja akaruhusu mbegu yako kuingia tumboni mwako.Achana na Huyo boya kiufupi kilasehemu Kuna mabaya mazuri.karibu Tz
Acha chuki zako Za kike ww wapi walisema wakenya hawatakiwiHabari ndio hiyo, wewe unaweza kuita upendavyo, Xenophobia, Kenyanphobia au vyovyote upendavyo, ukweli unabaki kwamba wakenya hawatakiwi, sioni sababu ya kujisumbua na kulazimisha kuja huku.
Mimi ningekushauri badala ya kuja Tanzania, ungeenda nchi zingine jirani na Kenya, Ethiopia is the best alternative, very beautiful ladies, economy grows faster than Tanzania, bigger GDP, and bigger country than Tanzania. Please forget about Tanzania.
Achana na Huyo boya kiufupi kilasehemu Kuna mabaya mazuri.karibu Tz
Acha kujaza watu Wongo. Kwa chuki zako binafsi.Ninahisi boya ni yule aliyechanua mapaja akaruhusu mbegu yako kuingia tumboni mwako.
Usijali bro.karibuThank you. We love good Tanzanians ambao wako na utu.
Usijali bro.karibu
Hahahaha .... we karibu tu marafiki zetu tutakupokea vizuri tena itakua njema ukipata mtu wa ufipa maana nasikia wanawapenda wakenya hasa
Usisahau kuwa na passport yako na kitambulisho chako
Tatu ukiondoka usisahau kubeba kiroba cha mchele kutoka mbeya uwapelekee nduguzo
Sawa... ukiwa huku tembea kifua mbele bila shati kila kona ni kazi tu hakuna kulalaHaya basi mchele though tunatoa Ahero na Sagana.... Labda juisi ya muwa pale Forodhani
Sawa... ukiwa huku tembea kifua mbele bila shati kila kona ni kazi tu hakuna kulala
Nitajitahidi nije ..Safii... Karibu pia jijini Eldoret. Nikufunze kukimbia marathon
Ninahisi wewe ni mgeni, unaruhusiwa kutoa maoni yako vile unavyodhani ni sawa bila ya kumdhalilisha mwenye mawazo tofauti na yako. Karibu sana jamvini.Acha kujaza watu Wongo. Kwa chuki zako binafsi.
wtf let me try to remember things they say about TZ, eg "wako on the rait traki","tutaipiku Kenya kwenye uongozi wa JPM" pia nitachangia kuhusu ukulima wa korosho na jinsi JPM anavyofanya mambo ya busara kununua Korosho kutoka kwa wakulima... sitasahau mambo ya FDI pia.. i got enough material bro
Nani alikwambia tunataka kazi zakukimbizana nakujaza magimbi kwenye miguu😂😂Safii... Karibu pia jijini Eldoret. Nikufunze kukimbia marathon
Self respect kama ya Amber Ruthy..... When a fool keeps quite, (s)he is deemed to be intelligent.