Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.
Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.
Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.
Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.
Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.