The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Kisa tu imani yake ni tofauti na yakoNi upumbavu....mambo ya dini ni sawa na simba na yanga tu kwa nn uweke chuki kwa mtu mpaka ufikie kumuuwa!!!!
Ila kuna watu wengine ni wajinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa tu imani yake ni tofauti na yakoNi upumbavu....mambo ya dini ni sawa na simba na yanga tu kwa nn uweke chuki kwa mtu mpaka ufikie kumuuwa!!!!
🤣🤣🤣Yale mafuasi yao ya humu jf hayaongelei kabsa hata kuhusu Sudan wala Congo yenyewe yamekazana na hamas na Hezbollah tu
Eh Jombaa.. Quran inakuumbua Jombaa... wewe ni fake muslim nini? au ndio Taqiyya imetawala moyo wako?Wewe ni mtu mwenye chuki na Uislam kwa ujumla wake. Usisingizie ugaidi sijui nini nini.
Quran 3:28Mwisho kuna wapalestina katika UAE, sio kama ulivyodai.
Na nchi za Kiislam hazikatazwi kufanya amani na nchi za makafiri na kuwa na mahusiano ya kidiplomasia kwa maslahi ya Uislam na Waislam, na raia wa nchi hizo, kwa mujibu wa Shari'ah na mipaka yake.
Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.
Umeniwahi kumjibu mkuu🙏sasa nchi kama rebanon kule Kuna din gan? Lebanon si saw tu na nch yeyote ya ulaya?Ila nyie jamaa ni washamba sana kama hujui Ukanda wa Palestina, Lebanon, Jordan na Syria unaitwa Levant Arabs na ndio waarabu wengi ambao wana dini tofauti na Uisilamu wapo wengi, Hata eneo La Egpty la Wakristo linapakana na Ukanda Huo.
Unapoongelea Waarabu wanamuziki Kina Nancy Ajram, Elisa, Feirouz na Malegend Wengine ni Ukanda Huo, Mavazi yao hawavai Kanzu, Hawana Character Nyingi zile za waarabu Asili.
Leo hii ukishushwa Beirut Hapo Lebanon unaweza uka sema Upo Ulaya Watu wanayo behave.
At Same Time Nchi za Kiarabu Asili KAMA Saudia, UAE, Oman, Kuwait, Qatar etc bado watu wanashikilia Sana Dini na mpaka leo japo wana Hela wapo kiasili, Utawakuta Misikitini, kama Kuna Club basi haipo hadharani, ukifanya Kosa dogo tu hapo Dubai wana ku deport kwenu sababu hawataki tabia chafu za watu wengine, ila Nchi kama Palestina Ama Lebanon hukuti hayo mambo.
Lebanon kuna mpaka Porn stars Kina Mia Khalifa huwezi kuta huo Ujinga UAE ama Saudia.
So kusema kwamba Eti Dubai ama Saudi wameendelea sababu wameacha Dini na Kina Palestina hawaja endelea sababu wanafuata Dini ni hoja ya kipuuzi mno sababu Vice versa is true.
Kabisa hasa nchi za kiislam zenye misimamo mikali kama UkraineUgaidi unaziteketeza Nchi nyingi za Kiislamu.
Umesahau na Ukraine Russia Myanmar Congo nkHii dini ya kipumbavu sana!
Somalia, Afghanistan, Sudan kote wafuasi wa Allah wanauana tu.
Angalia Lebanon kanchi kazuri kanaenda kuharibiwa sababu ya wapumbavu wachache kutaka kuwahi mito ya pombe na mabikra 72 kwa mudi
dogo wacha story waswahili wanakuambia kwenye majumba ya watu kuna siri nyingi zimejificha sawa sawa na nchi. Ukisha ishi kule ndo utagundua ukweli wote.
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.
Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.
Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.
Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.
Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.
Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.
Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.
Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.
Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Umesahau na Ukraine Russia Myanmar Congo nk
Ideology mbaya Sana ndio maana Kuna nchi ulaya huwakataa kabisa ni maharibifu mno.
Na siku zoteee huchokoza Ila yakishuhurikiwa perpendicular yanaanza kutia huruma mashenzi sana.
Utasikia yanasema salamaleko Mara paap takbir.....
Yale mafuasi yao ya humu jf hayaongelei kabsa hata kuhusu Sudan wala Congo yenyewe yamekazana na hamas na Hezbollah tu
Wewe ni mtu mwenye chuki na Uislam kwa ujumla wake. Usisingizie ugaidi sijui nini nini. UAE, Saudi Arabia na nchi nyingi za kiislam zina amani na utulivu. Mbona hujaitaja Saudia ambayo mnailaumu kwa kuvunja "haki za binadamu" na demokrasia na bado ina utulivu na amani na maendeleo makubwa? Na Saudia ndio katika nchi zote za kiislam imejitahidi mno kuitekeleza Shari'ah, Allah azidi kuibariki na kuwaongoza watawala wake. Allah azipe amani, utulivu na maendeleo nchi zote za kiislam na awaongoze watawala wao.
Halafu cha kufurahisha nchi hizi nyingi hazina takataka ya demokrasia au haziendekezi demokrasia. Huwezi kusikia kuna maandamano maandamano. Na wana maendeleo makubwa.
Halafu nchi zilizoharibika katika nchi za kiislam zimeharibiwa na makhawaarij, watu wanaojitoa katika utii wa mtawala na wakataka kumpindua. Makhawaarij mbwa wa motoni wanajificha nyuma ya Dini, nyuma ya kuamrisha mema na kukataza maovu lakini malengo yao ni viti vya utawala na dunia tu.
Wameanza tokea zama za mwanzo katika historia ya Uislam. Na wamekuwa wakidhihiri na kupotezwa, wakidhihiri na kupotezwa na katika zama hizi walidhihiri kupitia akina Muslim Brotherhood (ambao wanavumiliwa sana katika nchi za magharibi na baadhi yao wamepewa hifadhi katika nchi hizo wengine baada ya kuzichoma moto baadhi ya nchi za kiislam na kukimbilia nchi za magharibi na wanapewa uhuru wa kupanga njama dhidi ya nchi za Kiislam kutokea huko katika nchi za magharibi na nchi za magharibi zinawadhibiti pale tu hawa makhawaarij wanapowageuka) na madhehebu yao ikadhihiri katika zama zetu kupitia falsafa za Sayyid Qutb na baadae wakadhihiri akina Osama Bin Ladin na wenzake.
Lengo lao hawa makhawaarij ni nchi za kiislam, wala sio wamagharibi, wamagharibi wanashambuliwa na hawa makhawaarij pale ambapo wanaona wamagharibi wanaingilia njia yao kuelekea kuwapindua watawala wa kiislam. Na kwa mlango wa nyuma makafiri wa nchi za kimagharibi huwatumia kama kisingizio cha kuingilia kijeshi baadhi ya nchi za kiislam kwa maslahi yao katika nchi hizo zilizojaaliwa neema nyingi mno.
Na hili mpaka mashia wanatumia makhawaarij katika baadhi ya nchi za kiislam ili ziwake moto kwa maslahi yao mashia. Baadhi ya nchi wamefanikiwa na nyengine hawajafanikiwa kwa sababu hawaendekezi kabisa makhawaarij na wanawadhibiti kwa nguvu wao pamoja na mianya yao kama demokrasia kwa sababu makhawaarij huitumia demokrasia pia kama mwanya.
Mwisho kuna wapalestina katika UAE, sio kama ulivyodai.
Na nchi za Kiislam hazikatazwi kufanya amani na nchi za makafiri na kuwa na mahusiano ya kidiplomasia kwa maslahi ya Uislam na Waislam, na raia wa nchi hizo, kwa mujibu wa Shari'ah na mipaka yake.
Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.
Sidhani kama alichoongelea hapo kweny video kama umeelewa kabisa !? Kwa sababu unaongea vitu tofauti bila ya kuelewa ...Hakuna muislamu ana chuki kama ni kweli wangevamia nchi za jirani kabisa nje ya ardhi .
Unaongelea makundi ambayo wengi ni wadogo waliozaliwa maika ya 90's. Watato ambao wameshuhudia wazazi wao wakiuliwa na wazungu kwa nn wasiweke chuki kweny vifua vyao ?
Hayo makundi wakati ya vita ya kwana na pili ya dunia uliyasikia ? Nchi kiislamu watu wanaishi safi kama mtacuta sheria zenu kwa sababu hata muislamu halazimishwi kwenda msikiti au ufanya ibada kama kusoma Qur an ipo wazi .
Makundi mengine sio ya waislamu , hilo vuguvugu linaloendela umewaona ISIS ?Hayo ni makundi ya mchongo jaribu kusoma Qur an usinasibishe dini ndio unapokosea ....Russia anaua wanajeshi wa ukraine lakini hatutaki dini a taifa la Russia ila nyie mnapenda kuona wenzenu wana makosa 😀 😀 .
Wewe utakuja kusema nchi za kiislamu zinahukumu kifo wnaobadili dini ila watu wa dini zote wapo wanaishi hasa watalii.
Uislamu umeheshimu maumbile na nchi ambazo zilifanyiwa ubaya na wazungu mpaka siku ya mwisho pataendelea kuwepo na makundi ya itikadi kali , sababu kubwa jamii ya waarabu ni watu wabishi hata Africa zipo rebel group..Mkitaka hayo yaishe msiingilie nchi za watu mbaki kwenu ....
Huko hakuna demokrasia ukileta uasi huchukui round unauliwa ..
Chuki dhidi ya Uislam iliyofichwa nyuma ya pazia la kupinga ugaidi...
AhhahahItikadi kali ni kujitoa ufahamu. Hawashirikishi akili katika kuamua mambo.
Mfano nimeona kwenye TV, eti maislam yenye msimamo mkali (wa kijuha) wanataka kulipiza kisasi kwa mtu aliyechana kuruwan nchi Sweden 🇸🇪. Sasa unafikiria hiyo ni akili au matope? Wanaacha kushughulika na waumini wao ambao wanaichana kuruwan kwa kutofuata maamlisho ya Allah wao ambayo yako kwenye kitabu chao. Wenyewe wanahangaika na wanaochana kitabu physically. Wanaacha watu wao kibao ambao wanaikanyaga kwa kisigino (kuisigina) kuruwan kwa kufanya maovu bila kuhofu na wengine kwa raha zao.
🙄 😛
Huyu ajielewi. Nishawazoea hawa itikadi kaliUmeongea mambo mengi sana, lkn ukweli ni kwamba maislam, hayajawahi yashutumu hadharani na peupe Makhawaarij kama akina Osama, MB, ISIS na wengine wengi. Ndiyo maana dunia inaona wote ni walewale.
Unajua kulazimishwa ? au wewe umesoma MEMKWA ! Kila jambo lina wahusika wake ndio maana hata mziki upigwe sehemu sio wote wanaupenda ...Suala la imani ni la mtu binafsi hauwezi kumlazimisha tu hata siku moja .Hapo sijakusoma, maana kitendo cha kuweka maspika juu ya paa na kuanza kupayuka maneno yasiyoeleweka ya miarabu. Huko siyo kulazimisha watu?