Kwakuwa tayari Ajibu anaangukia kwenye kundi la free agent mategemeo ni kupata dau kubwa la usajili, mfano kama timu ingemuuza kwa Dola 25,000 na Signing Fee ya Dola 20,000 jumla gharama ya usajili ingekua Dola 45,000 ni mategemeo ya wachezaji wengi kuona ile signing fee ingeongezeka zaidi kwa sababu hakuna gharama za kuuzwaSasa mbona watu wanamlaumu wakati hawajui chochote...bongo bwana kuna watu ni wataalamu wa kuwapangia wenzao maisha,yaani mtu ukikuta anamshauri mtu namna ya kutoboa wakati ye maisha yamempiga hana lolote unabaki kushangaa tu
Binadamu wa ajabu wanataka ajibu akubali kulipwa kijimshahara kisa kuitwa mchezaji wa mazembe, huo ndio ujinga sasa,samatta alianza na mshahara wa $10000 hakuwa boya, football ni mchezo wa muda hakuna haja ya kuwafurahisha watu wakati Tanzania hii mchezaji anavuta $3000-$7000
Maelezo yako yanashawishi, maana Manara alishaanza kujitapa mapema kuwa Ajibu wanamchukua...Ishu ni kwamba Ajibu kajichanganya mwenyewe kwa tamaa zake, alishachukua hela ya usajili wa awali Simba, TP Mazembe ikabidi waifuate Simba, Simba wakawaambia TP kwamba ili tumruhusu tunataka Mil 220 mezani, Ndipo TP Mazembe wakasusia dili
Maelezo yako yanashawishi, maana Manara alishaanza kujitapa mapema kuwa Ajibu wanamchukua...
Na isitoshe Manara ndio mshauri mkuu wa Ajibu.
Afu ni FreemasonSisi NI wahapa hapa. Anayetoboa mchawi.
Kwel kabisa watu wanafanya masihara na maisha aiseeSamatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.
1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao
Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.
nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha
Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi
Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
asajili waarabu kama alikuwa hatanii.MO........ TUTAPAMBANA NA ZAMELEK, TP MAZEMBE KWENYE SOKO LA USAJILI.....MLIDHANI MO ANATANIA HAHAHAHAHAHAHAHAH
Mkataba wa awali mtu anachuka hela? Au ni maongezi tu kwanza?Ishu ni kwamba Ajibu kajichanganya mwenyewe kwa tamaa zake, alishachukua hela ya usajili wa awali Simba, TP Mazembe ikabidi waifuate Simba, Simba wakawaambia TP kwamba ili tumruhusu tunataka Mil 220 mezani, Ndipo TP Mazembe wakasusia dili
Mkataba wa awali mtu anachuka hela? Au ni maongezi tu kwanza?
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.
1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao
Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.
nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha
Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi
Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
Jamaa nimemwona ni mpumbav wa kiwango cha lami
Jinga kabisa yaani ....
Sijui limerogwa ....
Kacheze wewe huna miguu? Ngasa alivyoenda Aston Villa trial alikuwa Mazembe.. Wakina Kalaba wanazeeka TP mbona hajaenda Ulaya na AFCON medal anayo. . Acheni mazoea Farid na Chilunda wako wapi?? Okwi na Boban walivyoenda Ulaya walitokea TP. Wanyama na kaka yake?Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.
1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao
Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.
nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha
Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi
Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
Safi sanaKacheze wewe huna miguu? Ngasa alivyoenda Aston Villa trial alikuwa Mazembe.. Wakina Kalaba wanazeeka TP mbona hajaenda Ulaya na AFCON medal anayo. . Acheni mazoea Farid na Chilunda wako wapi?? Okwi na Boban walivyoenda Ulaya walitokea TP. Wanyama na kaka yake?
Hivi Ajibu ana elimu level gani? Isije mkawa mnalaumu kumbe sio kosa lakeAjibu katemaje dili la Mazembe?
Kabla Mazembe hawajaanza kumfukuzia alikuwa tayari amesaini mkataba wa awali Simba,TP Mazembe hawakuwa na taarifa hizo,Simba ndo wamewaambia Mazembe Ajibu ni wetu na si mchezaji huru na kama mnamtaka njooni kwa meza ya maongezi,wakaweka mambo mengiiiiiiiiiiii ikiwamo dola 100,000 ili mazembe wamchukue,jamaa wamechomoa wenyewe siyo Ajibu .
Ajibu ni kapeto atabaki kuwa wa hapa hapa tu,hajitambui,atazunguka Msimbazi,Jangwani na kurudi tena Msimbazi,wachezaji wetu wamerogwa,hawajitambui na aliyewaroga alishakufa