magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Jamani tujiulize kabla hatujaenda mbali Ajib Mazembe walitaka kumlipa kiasi gani na simba watamlipa kiasi gani....pia kumbukeni usajiri wa Tanzania mchezaji akiwa huru Hela ya usajiri anapewa you're yeye ila nadhani nchi zengine hazina tabia ya ovyo ovyo Kama tulionayo Tanzania... maana kwingineko mchezaji akiwa huru kinachojadiliwa ni mshahara binafsi sio hela ya usajiri juu nadhani Mazembe wameshindwa kutoa pesa ya usajiri kwa mchezaji binafsi na wao wamefata Sheria zakwao wao ambazo ni za kiprofesheno