U JUHA WA AJIBU NI WA KIWANGO CHA FLYOVER

Jamani tujiulize kabla hatujaenda mbali Ajib Mazembe walitaka kumlipa kiasi gani na simba watamlipa kiasi gani....pia kumbukeni usajiri wa Tanzania mchezaji akiwa huru Hela ya usajiri anapewa you're yeye ila nadhani nchi zengine hazina tabia ya ovyo ovyo Kama tulionayo Tanzania... maana kwingineko mchezaji akiwa huru kinachojadiliwa ni mshahara binafsi sio hela ya usajiri juu nadhani Mazembe wameshindwa kutoa pesa ya usajiri kwa mchezaji binafsi na wao wamefata Sheria zakwao wao ambazo ni za kiprofesheno
 
Sasa mbona watu wanamlaumu wakati hawajui chochote...bongo bwana kuna watu ni wataalamu wa kuwapangia wenzao maisha,yaani mtu ukikuta anamshauri mtu namna ya kutoboa wakati ye maisha yamempiga hana lolote unabaki kushangaa tu
Kwakuwa tayari Ajibu anaangukia kwenye kundi la free agent mategemeo ni kupata dau kubwa la usajili, mfano kama timu ingemuuza kwa Dola 25,000 na Signing Fee ya Dola 20,000 jumla gharama ya usajili ingekua Dola 45,000 ni mategemeo ya wachezaji wengi kuona ile signing fee ingeongezeka zaidi kwa sababu hakuna gharama za kuuzwa
 
Ukisikia Tanzania mchezaji anapokea $3000 jua ya kwake $1000-1500....ukisikia mchezaji amesajiliwa kwa milioni 50, jua yake ni milioni 15- 20..

Hii ndio bongo Nyosso.
Binadamu wa ajabu wanataka ajibu akubali kulipwa kijimshahara kisa kuitwa mchezaji wa mazembe, huo ndio ujinga sasa,samatta alianza na mshahara wa $10000 hakuwa boya, football ni mchezo wa muda hakuna haja ya kuwafurahisha watu wakati Tanzania hii mchezaji anavuta $3000-$7000
 
Ishu ni kwamba Ajibu kajichanganya mwenyewe kwa tamaa zake, alishachukua hela ya usajili wa awali Simba, TP Mazembe ikabidi waifuate Simba, Simba wakawaambia TP kwamba ili tumruhusu tunataka Mil 220 mezani, Ndipo TP Mazembe wakasusia dili
Maelezo yako yanashawishi, maana Manara alishaanza kujitapa mapema kuwa Ajibu wanamchukua...

Na isitoshe Manara ndio mshauri mkuu wa Ajibu.
 
Mkuu hiyo ni Dominick Salamba wa Azam TV alikuwa anasema, kwamba Ajibu alishachukua cha awali pale Simba, Mazembe hawakushindwa dau la Ajibu, wameshindwa dau la Simba
Maelezo yako yanashawishi, maana Manara alishaanza kujitapa mapema kuwa Ajibu wanamchukua...

Na isitoshe Manara ndio mshauri mkuu wa Ajibu.
 
Ajibu katemaje dili la Mazembe?

Kabla Mazembe hawajaanza kumfukuzia alikuwa tayari amesaini mkataba wa awali Simba,TP Mazembe hawakuwa na taarifa hizo,Simba ndo wamewaambia Mazembe Ajibu ni wetu na si mchezaji huru na kama mnamtaka njooni kwa meza ya maongezi,wakaweka mambo mengiiiiiiiiiiii ikiwamo dola 100,000 ili mazembe wamchukue,jamaa wamechomoa wenyewe siyo Ajibu .

Ajibu ni kapeto atabaki kuwa wa hapa hapa tu,hajitambui,atazunguka Msimbazi,Jangwani na kurudi tena Msimbazi,wachezaji wetu wamerogwa,hawajitambui na aliyewaroga alishakufa
 
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.

1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao

Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.

nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha

Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi

Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
Kwel kabisa watu wanafanya masihara na maisha aisee
 
Ishu ni kwamba Ajibu kajichanganya mwenyewe kwa tamaa zake, alishachukua hela ya usajili wa awali Simba, TP Mazembe ikabidi waifuate Simba, Simba wakawaambia TP kwamba ili tumruhusu tunataka Mil 220 mezani, Ndipo TP Mazembe wakasusia dili
Mkataba wa awali mtu anachuka hela? Au ni maongezi tu kwanza?
 
Kwa taratibu, kanuni na sheria za FIFA, pre contract agreement inahusisha mtu kupewa hela?
 
Kalogwa na izi timu zetu za kariakoo sio akili yake ileeee
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.

1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao

Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.

nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha

Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi

Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
 
Pre contract ni binding contract, hivyo issue ya pesa inàweza ikahusu, kumbuka Ngassa na Yondani walivyoondoka Simba, tayari walikuwa na pre contract na Yanga ambayo kikanuni inatakiwa ifanyike kwa mchezaji ambaye amebakiza mkataba chini ya miezi 6, na walishalamba pesa ya Yanga
 
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.

1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao

Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.

nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha

Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi

Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani
Kacheze wewe huna miguu? Ngasa alivyoenda Aston Villa trial alikuwa Mazembe.. Wakina Kalaba wanazeeka TP mbona hajaenda Ulaya na AFCON medal anayo. . Acheni mazoea Farid na Chilunda wako wapi?? Okwi na Boban walivyoenda Ulaya walitokea TP. Wanyama na kaka yake?
 
Sasa simba kaingiaje hapo kama sio umbea nini? Unasikiliza habari za magazeti ya kibongo yalojaa umbea mtupu, unawasikiliza waandishi wambea na hawana wajualo, elewni mana ya tetesi, tetesi sio usajili tiari, alowambia simba inamtaka ajibu nani? Page ya simba imethibitisha hilo? Mtoa mada nae full povu!! Kwani aly hyl imejileta toka mbinguni? Mazembe nayo imeshushwa, tuache kujidharau kuwa hatuezi!! Hata mbuyu ulianza kama mchicha, kila kitu huwa kinaanza zero , !! Afu ishu ya ajibu mtahukumu bila kujua lolote kwakuwa ajibu hajasikilizwa, !!!
 
Kacheze wewe huna miguu? Ngasa alivyoenda Aston Villa trial alikuwa Mazembe.. Wakina Kalaba wanazeeka TP mbona hajaenda Ulaya na AFCON medal anayo. . Acheni mazoea Farid na Chilunda wako wapi?? Okwi na Boban walivyoenda Ulaya walitokea TP. Wanyama na kaka yake?
Safi sana
 
Ajibu katemaje dili la Mazembe?

Kabla Mazembe hawajaanza kumfukuzia alikuwa tayari amesaini mkataba wa awali Simba,TP Mazembe hawakuwa na taarifa hizo,Simba ndo wamewaambia Mazembe Ajibu ni wetu na si mchezaji huru na kama mnamtaka njooni kwa meza ya maongezi,wakaweka mambo mengiiiiiiiiiiii ikiwamo dola 100,000 ili mazembe wamchukue,jamaa wamechomoa wenyewe siyo Ajibu .

Ajibu ni kapeto atabaki kuwa wa hapa hapa tu,hajitambui,atazunguka Msimbazi,Jangwani na kurudi tena Msimbazi,wachezaji wetu wamerogwa,hawajitambui na aliyewaroga alishakufa
Hivi Ajibu ana elimu level gani? Isije mkawa mnalaumu kumbe sio kosa lake
 
Back
Top Bottom