Yale yale ya yanga kufungwa na lipuli alafu lawama kwa simbaKataka dau kubwa ndio sababu. Katazama mshahara kuliko future. Meneja wake anahusishwa kwa hilo. Duru nyingine zinadai Simba ndio chanzo cha dili kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale ya yanga kufungwa na lipuli alafu lawama kwa simbaKataka dau kubwa ndio sababu. Katazama mshahara kuliko future. Meneja wake anahusishwa kwa hilo. Duru nyingine zinadai Simba ndio chanzo cha dili kufa
Unajua Ajibu ana umri gani mpaka mazembe iwe future?Kataka dau kubwa ndio sababu. Katazama mshahara kuliko future. Meneja wake anahusishwa kwa hilo. Duru nyingine zinadai Simba ndio chanzo cha dili kufa
Wamesitisha baada ya wakala Wa ajibu kutaka milioni 220 wakati in mchezaji huru.. Kumbuka wakala Wa ajib ameshakuwa katibu Wa simba ... Yale Yale ya kakolanyaTp mazembe ndiyo wamesitisha huo mpango sio Ajib
Amezingua wakala wake kwenye mazungumzo.... Hakuitwa kwa majaribio alitakiwa mazimamazima.... Anaenda Simba nakwambia ....Watu wanakimbilia kumlaumu ajibu bila kuangalia upande wa pili. Wana uhakika gani kama alifanikiwa majaribio? Hata kama walionesha interest lakini wanaweza kubadilika baada ya kugundua kitu ambacho hawakukijua awali
Wajinga ndiyo waliwao hama kweli. Wacha akachome mahindi maana ndicho alichochagua na muda na bahati aliyochezea atajutia baada ya 2yrs.Wachezaji wetu wanahitaji sana kupata elimu ya mikataba. Pili ni wakati muafaka sasa TFF iwekeze kwenye kuandaa mawakala wadogo wadogo ili kuwasimamia wachezaji wetu. Tatu TFF na SPUTANZA ziwe zinandaa semina kwa ajili ya wachezaji wetu wawe wanaweza kupambana na kuwa wavumilivu na sio kusubiri kesi za wachezaji kuvunjiwa mikataba.
Pia tuiombe wizara ya michezo/vijana iangalie kwa jicho la tatu suala la elimu ya mikataba, ukakamavu, upambanaji na kutokutaa tamaa kwa wachezaji wetu wa michezo yote kwani michezo ni ajira. Unapokuwa na wanamichezo takribani 10,000 wa michezo mbali mbali kama ngumi, mpira wa miguu, riadha, kuogelea n.k. wa kimataifa kwanza tayari wanakuwa na ajira, pili mapato watakayopata yatakuja kusaidia nchi na wao wataajiri pia watu wa kuwasaidia.
Mimi ni shabiki wa Simba, lakini kama ni kweli Ajibu ametema dili la Mazembe kwa ajili ya Simba hapo kachemka. Hata Simba wenyewe watakuwa wamechemka kwa sababu kiasili Ajibu ni mchezaji mvivu mvivu, hajitambui kabisa kipaji chake. Angekuwa makini yeye ndiye angekuwa anafuata njia ya Samata kabla hata ya Msuva.
Mpira ni mchezo wa muda maalum umri ukipita ndio basi tena. Leo hii wapo wapi Gerson Tegete, Haruna Moshi na Halfan Ngasa. Siasa za Simba na Yanga zimeharibu kabisa maisha yao ya baadae.
Ajibu alipaswa ajifunze moyo wa kupambana kama Samatta. Sijui wachezaji wa Tanzania wanakwama wapi. Ukipata historia za wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanavyokwenda Ulaya njia wanazopitia ni za hatari sana lakini hatimaye wanafanikiwa. Lakini hawa wa kwetu hata kupita njia halali hawawezi sijui tumelogwa na nani.
True, maamuzi ya mtu ni lazima yaheshimiwe.Ombaomba FC wameumia kweli, mbona mnampangia mtu maisha ? kachezeni na nyie msajiliwe TP Mazembe
Sasa umeshaandika Mazembe wameshindwana na Simba sio Ajib then unaandika hajitambui au ulitaka Ajib azitoe yeye hizo dola 100,000 avunje mkataba na simba aende mazembe?Ajibu katemaje dili la Mazembe?
Kabla Mazembe hawajaanza kumfukuzia alikuwa tayari amesaini mkataba wa awali Simba,TP Mazembe hawakuwa na taarifa hizo,Simba ndo wamewaambia Mazembe Ajibu ni wetu na si mchezaji huru na kama mnamtaka njooni kwa meza ya maongezi,wakaweka mambo mengiiiiiiiiiiii ikiwamo dola 100,000 ili mazembe wamchukue,jamaa wamechomoa wenyewe siyo Ajibu .
Ajibu ni kapeto atabaki kuwa wa hapa hapa tu,hajitambui,atazunguka Msimbazi,Jangwani na kurudi tena Msimbazi,wachezaji wetu wamerogwa,hawajitambui na aliyewaroga alishakufa
Je unajua alikuwa anaenda kulipwa mshahara kiasi gani pale TP Mazembe?Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.
1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3. Kutwaa ubingwa wa CCL.
4. Kuuza jezi online
na vingine kibao
Alf Moise Karudi Congo Ajib analaana anapishana na gari la mshahara kila mwaka.
nilichogundua wabongo tunatabia ya kuridhika mapema ukisoma soma stori za wachezaji weusi waliotoboa mbele unakuta walipitia mengi sijui kaenda ulaya kwa meli ya kudandia kapita italy ubaguzi ukamshinda kaenda ufaransa kalala barabarani kwenye baraza ndio anakuja kutoboa lkn huku kwetu mtu akicheza Simba Yanga kazi imeisha
Hata kama hujui radha ya kutoboa ulaya...inamana samata hamuoni?.
Jamaa anapokelewa na mawaziri kuliko Hata mabalozi wa nchi
Mchezaj ambae hata team ya taifa anastruggle kupata no ndo umsajil then ukapambane na Esperance, waydad, eto, al ahaly , zesco nk alaf Eti anagoma ! kweli mapimbi hawataisha duniani