U-Live ya U-FM: Kipindi bora cha michezo kuliko vyote

U-Live ya U-FM: Kipindi bora cha michezo kuliko vyote

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.

Na habari zao ni za uhakika.

Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
 
Hata UTV iko poa kuliko TV zote za ndani, taarifa zao za habari vipindi kama Makala, Medi Counter, Zumari, Viunzi, Kazi ni Kazi, Morning Trumpet, Adhuhuri Live, Alasiri Lounge nk ni balaa sanaaaaa.
 
Hata UTV iko poa kuliko TV zote za ndani, taarifa zao za habari vipindi kama Makala, Medi Counter, Zumari, Viunzi, Kazi ni Kazi, Morning Trumpet, Adhuhuri Live, Alasiri Lounge nk ni balaa sanaaaaa!
Tv za wazee hizo kama Tbc[emoji1787][emoji1787]
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.

Na habari zao ni za uhakika.

Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
Efm Hq ni takataka matanagzo yanachukuwa sehemu kubwa ya kipindi, bora waweke matangazo kwanza wakimaliza wanze kipindi
 
EFm sport Hq miaka sasa nimeacha kusikikiza baada ya kuona ni kipindi cha matangazo na sio michezo.
 
NIKIAMKA KIPINDI CHA MICHEZO NI CHA SAA SITA KIPYENGA EXTRA... BAADA YA HAPO NI MPAKA SAA 10 ULIVE...

WASAFI NA EFM... NIMEWAACHA NA KAMARI ZAO...
 
Vipindi vya michezo siku hizi vimejaa kingereza kingi “sisi la saba tunateseka”. Kipindi kimejaa kubishana tuu
Nadhani hivi vituo vya redio wangeanzisha idhaa za kiingereza tu maana hawa wanaotangaza vipindi vya kiswahili inaonekana wanajua zaidi kiingereza kuliko kiswahili.

Kama ilivyo TBC wana idhaa ya kiingereza(TBC international) hapo ni kiingereza mwanzo mwisho.
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.

Na habari zao ni za uhakika.

Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
U-live michezo kwa sasa Haina mshindani ni kipindi Bora kabisa Cha michezo
 
Back
Top Bottom