AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
kingereza yenyewe ni kurudia rudia "so far".Vipindi vya michezo siku hizi vimejaa kingereza kingi “sisi la saba tunateseka”. Kipindi kimejaa kubishana tuu
Tv za wazee hizo kama Tbc[emoji1787][emoji1787]Hata UTV iko poa kuliko TV zote za ndani, taarifa zao za habari vipindi kama Makala, Medi Counter, Zumari, Viunzi, Kazi ni Kazi, Morning Trumpet, Adhuhuri Live, Alasiri Lounge nk ni balaa sanaaaaa!
Wasafi fm na EFM
Saa 10 jioni kila siku..Kinaruka saa ngapi na siku gani?
Efm Hq ni takataka matanagzo yanachukuwa sehemu kubwa ya kipindi, bora waweke matangazo kwanza wakimaliza wanze kipindiKizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.
Na habari zao ni za uhakika.
Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
Nadhani hivi vituo vya redio wangeanzisha idhaa za kiingereza tu maana hawa wanaotangaza vipindi vya kiswahili inaonekana wanajua zaidi kiingereza kuliko kiswahili.Vipindi vya michezo siku hizi vimejaa kingereza kingi “sisi la saba tunateseka”. Kipindi kimejaa kubishana tuu
U-live michezo kwa sasa Haina mshindani ni kipindi Bora kabisa Cha michezoKizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.
Na habari zao ni za uhakika.
Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.