Nirifikiri❌Duuuh, nimecheka mpaka mbavu, mi nirifikiri, ni kazi raiiiini, kumbe balaaa hv, bora niendelee kubeba zege
Usibadili gia angani bana, kuna ile thread ya mbinu za kupata mishangazi uliandika hii "kuna mishangazi mingine nayo ina njaa inaomba hela" itakua ndio huu mshangazi wako unaokulambisha shadr at el munya.....Sio mimi jamani nimeleta tu ujumbe
Huo sio mshangazi piga chini, mishangazi hatuna sifa tajwa hapo juu.....Unaua bendi eve😂😂
Yan kama yalioandikwa haoa ni ya kwel hakyanani bora ukabebe zege au ukafanye kazi viwandanibkwa wachina. 😂😂Duuuh, nimecheka mpaka mbavu, mi nirifikiri, ni kazi raiiiini, kumbe balaaa hv, bora niendelee kubeba zege