U-Marioo tabu tupu

U-Marioo tabu tupu

Alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
6,535
Reaction score
14,840
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania.
Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli.

Wanaweza hata kukupa kazi ya kufua nguo za ndani, unakuta kajaza kitenga cha nguo hadi zaidi ya 40. Ukitoka hapo uingie jikoni kupika, ukimaliza uoshe vombo.

Yeye ananenepa we unakonda kwa mateso unayopitia. Msione kibenteni kinaishi maisha mteremko mkadhani kwa wepesi. Mambo magumu kwa ground.

Hapo pia sometimes inakulazimu kuharibu nguvu za kiume kwa kupaka mkongo ili usiwe na kazi mbaya kwa ofisi.

Kazi ya hasara sana hii.....😂😂
 
Ndivyo ulivyo mkuu mwanaume n kula Kwa jasho nawe huna budi kutoa hlo jasho Ili ulee...VP ajakulipia gmy ukuze mwili😅😅😅😅

Ila maishà n nyokoo sanaa😅
Ndio maana mario wengi wamekonda konda
 
Duuuh, nimecheka mpaka mbavu, mi nirifikiri, ni kazi raiiiini, kumbe balaaa hv, bora niendelee kubeba zege
Yan kama yalioandikwa haoa ni ya kwel hakyanani bora ukabebe zege au ukafanye kazi viwandanibkwa wachina. 😂😂
 
Back
Top Bottom