U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Thanks sana mkuu kwa ushauri wako lakini 90% ya wanawake huwa naachana nao kwa staili hii hii sasa sijui tatzo liko wapi
Tatizo lako unawachelewesha, kadri siku zinavyokwenda mwanamke anazidi kupoteza interest na wewe. Wakaribishe kwako, andaa mazingira ya kuwala.

Pitia huu uzi utakusaidia:
 
U niceguy ni mbaya Sana back days nilikuaga hivyo lakin nilijibadilisha baada ya kuona napishana na watoto wazuri ila kwa appearance yang ni niceguy lakn mtoto akishakuwa ndani ya himaya ni mtu mbaya Sana huwa nambadilikia bas utakuta tu anakuganda kuwa niceguy co tatzo Bali husiyaendeshe mahusiano ki niceguy unafeli
 
Bro we uliwezaje kutoka kwenye hichi kitanzi
 
Thanks sana mkuu kwa ushauri wako lakini 90% ya wanawake huwa naachana nao kwa staili hii hii sasa sijui tatzo liko wapi
Kukataliwa ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kiume, hivyo zoea na wala usijione una tatizo.
Narudia tena usiwape wanawake bila sababu unnecessary attention, resources and validation.
Pia achana kabisa na hao hood-rats wa uswahilini, tafuta wanawake wenye akili timamu.
 
Kukataliwa ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kiume, hivyo zoea na wala usijione una tatizo.
Ila tu achana kabisa na hao hood-rats wa uswahilini, tafuta wanawake wenye akili timamu.
Sawa sawa mkuu nimekuelewa
 
Na ukiwa nice guy halafu ukampenda sana demu ndo umekwisha kabisa. Ni shida tupu yaani [emoji706]
Boya1105-111239.jpg
 
Kuna mwamba mmoja vyumba vyetu vipo jirani sana mshikaji ni bad boy na muonekano wake wa kishamba tu yani ni mtu ambae namzidi kila kitu kuanzia muonekano uvaaji mpaka maisha

Hii inatosha kuonesha jinsi gani wewe ni teenager
 
Huo u introvert wako unatokana na nini usje kuwa unajipa vyeo kumbe umekosa self esteem.

Tatizo lako kubwa hauna confidence!

Jambo la kwanza kabisa mwanamke analovutiwa na jinsia ya kiume ni confidence...

Rekebisha mambo yanayokufanya ukose confidence ( mfano mavazi , style ya kunyoa usafi) jiweke vizuir itakuongezea kujiamini...

Confidence katika maongezi yako .. tone yako inatoka vipi? Huwa unaongea na mwanadad ukiwa calm and relaxed au unapatwa na kigugumizi na kuongea sauti ya uwoga uwoga ??

Pia kwa maelezo yako inaonekana wewe huwa una mu approach mwanadada kwa gia za urafiki... yani unaanzisha nae urafiki uanjifanya mtu mwema a good boy ukitarajia mwanadada huyo atavutiwa na wewe na kupata hisia za kimapenzi juu yako kwasababu ya ugood boy wako?

Create a sexual vibe toka mwanzo unaongea nae ajue kabisa nia na madhumuni yako haswa ni nini, body language aina za mada unazochaguwa kuzungumza.. tofautisha kuongea na dada, rafiki na mpenzi...
 
Back
Top Bottom