U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Embu jaribu kukaa upande wa manzi.

Assume umeenda sokoni au sehemu yoyote changamkeni kutafuta kitu chochote au unapita zako tu maeneo hayo. Kuna frame nyingi tu zinazouza vitu vinavyofanana (japo wauzaji ni tofauti, ofcourse).

Kwenye kutembea tembea uka notice kuna mahali watu wanaingia sana na kutoka. Japo ukiangalia bidhaa zinazouzwa pia zipo kwenye frame zingine ambazo mzunguko wake wa watu ni mdogo sana.

Unadhani utatamani kuingia kwenye frame ipi? Obviously ile ambayo watu wengi wanaingia. Lazima kitu ki click kichwani as why watu wanaenda sana pale? Kuna nini? Kuna promotion nini? Au jamaa ana vunja bei? Out of curiosity na wewe utaenda tu pale.

So people more often than not, wanapenda kwenda sehemu ambayo watu wengi wanaenda. Ni nature.

Same way kwa pisi kali. Wahuni wanaovizia ni wengi sana. Lakini bado watu hawaachi kuhangaika naye. Just out of curiosity.

Sababu zingine zilizotolewa na wadau ni nzuri pia. Nimeamua tu kuongezea na hii pilipili kwa mbali.

Ushauri: Fanya namna frame yako na wewe itembelewe na watu wengi.[emoji1474]
Bonge la ujumbe mkuu nimekuelewa vema
 
Watu wanaclaim wao ni bad boy at alarming rate na wanakwambia kua bad boy kunakuguarantee constant sex this is a lie.

Huyu dogo anadanganywa.

Kila mtu ana namna yake ya kumfanya awe na constant supply of pussy. Over time utagundua kwamba kushindana na K ni masihara utaacha hayo mambo.

Pia acha kujifananisha na mwanaume mwingine kwamba mbona mshamba tu halafu ananipiku, au havai vizuri, anavuta bangi. Watu wanakushauri uvute bangi ili umvutie demu, usiwe fala, mimi sijawahi kuvuta bangi, sigara, sijawahi tumia kilevi chochote lakini siwezi jiita nina bahati mbaya when it comes to women.

Niliwahi fanya interview kupitia Plum wakanievaluate na kunipa my 3 top talents mojawapo ni 'Persuasion' so fanyia kazi hapo.
View attachment 2017103
Ahsante mkuu nimekuelewa vzr
 
Nilidhani umekosa hela kumbe umekosa demu

Acha undezi

Acha akapunguziwe virusi wewe nunua wine kunywa hapo geto kwako shushia mziki au Korean series

Wanawake huwa hawajui wanachotaka sio kosa lako
Thanks sana mkuu
 
Mkuu unachokitaka ni sawa na kutembea kwa miguu katikati ya barabara ya mabasi yaendayo kasi.....

Mkuu baki na udumu katika njia yako huku sio sehemu sahihi sana....

Akili za kupewa changanya na za kwako....

Sio lazima kila kitu kwenye hii dunia ukifanye .....
Nimekulewa mkuu shukran sana
 
Sawa Mr .nice guy
Hapo demu kaelewa kupigwa shipa tuu na mwamba
Wwe mlamba lips utakula ulipo peleka mboga
Acha ukoro mkuu madem nani ka kwambia u nice guy kwake inshu
Pole kwa kushika mapembe maziwa wakamue wenzio
 
Sawa Mr .nice guy
Hapo demu kaelewa kupigwa shipa tuu na mwamba
Wwe mlamba lips utakula ulipo peleka mboga
Acha ukoro mkuu madem nani ka kwambia u nice guy kwake inshu
Pole kwa kushika mapembe maziwa wakamue wenzio
Daah..very sad mkuu
 
Bangi kwenye familia yetu ni kitu ambacho atukitumii kabisa labda kama kuna njia nyingine unaweza nisaidia fresh
Acha tabia ya kumuonea huruma mwanamke, anza kuwaza kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na always tumia amri usibembeleze mwanamke. Hapo utafaulu yani.

Dhamira iwe wazi toka mwanzo kuwa lengo ni kumtafuna kimasihara sio kuanza kuulizana story za shuleni 😅 huwa wanajiongeza wenyewe wanajua cha kufanya!
 
Naaa....hakunaga kitu huwa inavuruga kichwa cha mwanamke kama kukutana na bad boy halafu hana hela....

"Yani be likeee ooh bad boy, mtamu kama hela ya ada, ooohh jameni viuno vyooote halafu iishe na ahsante!!! Ooohh no no namuacha siwezi, ooohh siwezi muachaaaa anakunaga kila mahali ooh no hanipi kitu ntamuacha namuacha oooohh simuachi analambaga kila kitu"
View attachment 2016927
Hahahahahhahahah mchague wenyewe sasa kuzika au kusafirisha 😂
 
Acha tabia ya kumuonea huruma mwanamke, anza kuwaza kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na always tumia amri usibembeleze mwanamke. Hapo utafaulu yani.

Dhamira iwe wazi toka mwanzo kuwa lengo ni kumtafuna kimasihara sio kuanza kuulizana story za shuleni 😅 huwa wanajiongeza wenyewe wanajua cha kufanya!
Bila coment yako huu uzi ungekuwa aujakamilika ila sasa mod anaweza kuufuta tu
 
Alikwambia anataka sh●ga ?? Amna cha u nice guy wala nini Acha kulamba lips kijana
 
Back
Top Bottom